Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

IDDI SHAFII

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
37
Reaction score
8
Habari Wana-Jukwaa!

Naomba msaada wenu mtueleweshe kuhusu Direct Cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapofika vyuoni?

Maana vyuo vingine Direct Cost wameandika Tsh. Milioni 2.8 kwengine Tsh. milioni 3

Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo au unaweza kulipa nusu? Ahsante
 
Habari
Naomba mtueleweshe kuhusu direct cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapo ripot vyuoni? Maana vyuo vingine direct cost wameandik mil. 2.8 kwengine mil. 3 nk.

Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo? Ahsante
Direct cost kwa experience haizid laki 2...Ardhi tunalipa 120,000
 
Kwa utaratibu wa vyuo vingine unalipa yote kabla ya kuripoti...lakini sina uhakika kwa chuo unachosoma wewe....labda ungetaja jina la chuo wadau wanaosomea hapo wakaoma jinsi ya kukujibu
 
Soma vizur direct cost ni administrative cost plus other cost hizi hulipwa zote na tuition fees ndo hulipwa nusu yake 1st semister nyingne second semester.
Kwa ufupi direct cost haziwezi kufika 2m sasa apo tuition fee itakua bei gan .
Soma vizur lakni inshort direct cost ni ndgo na haziwez fika hata nusu ya tuition fees
 
Direct cost iyo 2mil ni chuo cha tz au marekani haiwezekan soma vizur direct cost huwaga ni hela ndogo sana
 
Soma vizur direct cost ni administrative cost plus other cost hizi hulipwa zote na tuition fees ndo hulipwa nusu yake 1st semister nyingne second semester.
Kwa ufupi direct cost haziwezi kufika 2m sasa apo tuition fee itakua bei gan .
Soma vizur lakni inshort direct cost ni ndgo na haziwez fika hata nusu ya tuition fees
Mtoa maada asome[emoji115][emoji115] hapa na ndo jinsi ilivyo....nijuavyo mimi direct cost hulipwa yote ila ada ndio huwa ikilipwa kwa awamu...
 
Habari
Naomba mtueleweshe kuhusu direct cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapo ripot vyuoni? Maana vyuo vingine direct cost wameandik mil. 2.8 kwengine mil. 3 nk.

Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo? Ahsante

Ni hivi: Direct costs ni hela unayolipa chuoni kama ada, ID, admin costs, exam costs etc. Accomodation, books, meals siyo direct costs maana una uhuru wa kulala chuoni au nje, kula chuoni au mitaani kununua vitabu au la. Etc
 
Sorry.... Direct cost ya udsm ni shilingi ngapi
Acha uvivu wewe nenda chuoni kachukue joining form ama ingia kwenye website ya chuo tafta prospectus ya 205/2016 manake ya mwaka huu wa masomo sina uhakika kama itakua taar soma kuna mahali zipo na zimeainishwa vyema.
Unataka taarifa nyeti zitafute kwa nguvu
 
kwa nini usipige simu ofisi ya Dean ama uhasibu wakakupa taratibu.... Vijana wa mwendokasi shida wanafikiri huku JF niutawala wa Vyuo. Kila chuo kina taratibu zake na zinabadilika kila bara kupata taarifa sahihi wasiliana nao ndio maana kuna sehemu imeandikwa contacts za chuo zitumia hizo
 
Back
Top Bottom