Inawezekana kabisa hii kitu uamzi ni wake,Wana jf msaada tafadhsli, Nina ndugu angu anayo degree ya geology ila ambition yake ni kuwa mwalimu , akiweza soma postgraduate ya education anaweza ajiliwa na serikali yetu kama mtu mwingine aliyesomea ualimu yaani Degree of education????
Kama ambition yake ni kuwa mwalimu kwanini hakusomea ualimu akaenda kusoma geology???..Huyo amesoma geology kaangaika uko ameona inamfia ndo kaona solution ni kukimbilia kwenye ualimu...mwambie walimu wanatosha huku wamejaa hatumtakiWana jf msaada tafadhsli, Nina ndugu angu anayo degree ya geology ila ambition yake ni kuwa mwalimu , akiweza soma postgraduate ya education anaweza ajiliwa na serikali yetu kama mtu mwingine aliyesomea ualimu yaani Degree of education????
Ndugu angu fuatilia historia ya mfumo wa mambo huko nyuma hasa udahili wa vyuo, nyuma ya 2011 , ulikuwa unaomba si chini ya kozi sita mpaka 8 au Tisa, priority in ascending mwishowe unakuta umechaguliwa kozi za mwisho huko au pengine umechaguliwa out of priority , unaenda kutokana na hari hiyoKama ambition yake ni kuwa mwalimu kwanini hakusomea ualimu akaenda kusoma geology???..Huyo amesoma geology kaangaika uko ameona inamfia ndo kaona solution ni kukimbilia kwenye ualimu...mwambie walimu wanatosha huku wamejaa hatumtaki
Hakuna kitu kama icho,mi mwenyewe nimesoma miaka iyo..angekuwa anapenda ualimu angejaza course hata zote za ualimu na asingekosa...watu kama hao tumesoma nao vyuoni na ndo walikuwa wanawacheka walimu kwa kuona kama wanaosomea ualimu wamepotea kimaishaNdugu angu fuatilia historia ya mfumo wa mambo huko nyuma hasa udahili wa vyuo, nyuma ya 2011 , ulikuwa unaomba si chini ya kozi sita mpaka 8 au Tisa, priority in ascending mwishowe unakuta umechaguliwa kozi za mwisho huko au pengine umechaguliwa out of priority , unaenda kutokana na hari hiyo
Umesoma mwaka upi na wapiHakuna kitu kama icho,mi mwenyewe nimesoma miaka iyo..angekuwa anapenda ualimu angejaza course hata zote za ualimu na asingekosa...watu kama hao tumesoma nao vyuoni na ndo walikuwa wanawacheka walimu kwa kuona kama wanaosomea ualimu wamepotea kimaisha
True ..kuna jamaa alikuwa anaponda sana hall 5 pale udsm lakin mpaka sasa yuko mtaani tu..tena enzi zile za kikwete ajira nje nje said angekuwa ameshapata nyumba hata ya vyumba viwili [emoji23]Hakuna kitu kama icho,mi mwenyewe nimesoma miaka iyo..angekuwa anapenda ualimu angejaza course hata zote za ualimu na asingekosa...watu kama hao tumesoma nao vyuoni na ndo walikuwa wanawacheka walimu kwa kuona kama wanaosomea ualimu wamepotea kimaisha
Miaka ya 2010..suaUmesoma mwaka upi na wapi
Mwambie asoma masters ya jiologi aje afundishe vyuo.Wana jf msaada tafadhsli, Nina ndugu angu anayo degree ya geology ila ambition yake ni kuwa mwalimu , akiweza soma postgraduate ya education anaweza ajiliwa na serikali yetu kama mtu mwingine aliyesomea ualimu yaani Degree of education????