Ninaomba msaada wa kimawazo wakuu

Ninapenda nisome master's ya Automation and industrial control lakini kwa vyuo vya hapa nyumbani hii kozi haipo.
Sasa nimeamua nisome kozi mojawapo kati ya hizo kozi tatu nilizozihorodhesha hapo chini.

University of Dar es salaam.
Master's of science in:
1.Power systems and high voltage.
2.Power electronics and electric drives.
3.Renewable energy sources.

Nawasilisha.

Piga
Ana
Ana
Dooooo

Utapata jibu,elimu yako uje utusumbuwe sisi,kwann lakini,Eti?
 
Ninapenda nisome master's ya Automation and industrial control lakini kwa vyuo vya hapa nyumbani hii kozi haipo.
Sasa nimeamua nisome kozi mojawapo kati ya hizo kozi tatu nilizozihorodhesha hapo chini.

University of Dar es salaam.
Master's of science in:
1.Power systems and high voltage.
2.Power electronics and electric drives.
3.Renewable energy sources.

Nawasilisha.
Sasa mbona ushaamua! Hayo mawazo unayotaka ni ya nini tena?
 
Hapa kuna trick ya kisaikolojia unaweza kiutumia kuju nini hasa unachokitaka.

Kama una options mbili, chukua shillingi, option ya kwanza iwe kichwa ya pili mkia.

Rusha shillingi hiyo hewani, wakati iko hewani utakuwa unawish idondokee upande mmoja, kichwa au mkia. Hicho ndicho kitu unachokitamank deep inside
 
Taizo ufaulu wako ni mbovu sana

Hivi ni kweli mwenye GPA ya lower second class(3.4) asahau kuhusu scholarship katika nchi za Ulaya? - JamiiForums
 
Back
Top Bottom