Habari za humu Wakuu?
Jamani kwa yeyote anayeelewa ni lini watatoa second batch, leo tar 27 kimya Wanafunzi wa mikoani wanaripoti lini vyuoni hapa ni shida tupu mwenye idea atueleweshe
Asante
Jaman naombeni msaada kama nilivyo waonyesha hapo chini unakuta chuo mfano wa makerere wanafunzi wote wa E. Africa wanalipa sawa ila nashanga hii mbarara wameweka ugandan na international ina...
Hellow,,,,,nilikuwa naomba kuuliza haya maswali kwa wenye ujuzi na masuala ya finance na accounting
1. Ni career ipi ina demand kubwa kati ya finance au accounting
2. Zipi pros and cons za...
toa mifano ya misimu iliyozuka katika vipindi vifuatavyo;
1. njaa ya mwaka 1975-1979
2.njaa ya 1998-1999,
3. muda mfupi baada ya kupata uhuru,
4.miaka ya vita vya kagera,
5.kipindi cha hali...
Salam kwenu nyote!
Ndugu naomba msaada wa kimawazo juu ya kozi hizi za biashara: ACCOUNTANCY na BUSINESS ADMINISTRATION katika suala zima la ajira; ni ipi kati yake iliyo rahisi kupata ajira, na...
Wadau naweka bandiko hili kuomba mawazo ya kujitosheleza kuhusu course hii hasa inayotolewa ktk taasisi ya usimamizi wa fedha (IFM) iliyopo jijini Dar es salaam! Ili nami niweze kutoa ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.