TCU wameamua kuongeza udahili wa kozi ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mbeya

Jazajuan

Senior Member
Dec 9, 2017
147
262
Haya kile kilio cha wanahitimu wengi wa PCB kuachwa katika maombi ya chuo... tena wengine wakiwa na ufaulu mzuri kuanzia Div 1 ya point 8,9,.. Div 2 ya point 10,11 na kuendelea sasa kimepata suluhisho ... kutoka na wengi kukosa chuo vyuo TCU wameamua kuongeza udahili wa kozi ya udaktari katika chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mbeya .. kwa wale mliokosa vyuo ni wakati wenu kuapply sasa tena kukiwa hakuna kabisa competition ya vyuo katika kozi ya udaktari... Hongereni kwa fursa nzuri katika kipindi kizuri.View attachment medicineAnnounce.pdf
 
wamefanya jambo zuri sana. Hivi karibuni nilitembelea na kukuta mazingira mazuri ya kusomea. Na kama wasingekizuia basi wangekua wamepiga hatua kiasi fulani. Ndugu yetu alizingua sana kwa lile tamko
 
UDSM kwa medicine wanazingua tu kama zile course za Agriculture.

Watajishushia CV zaidi waki-addmitt rejects za MUHAS na UDOM.
 
Back
Top Bottom