Shukurani mkuu kutangaza kwenye gazeti Ni lazima au? Pia baada ya hiyo process kama sijakipata watanipa kingine?Nenda balaza kule watakuambia uende polisi ukatoe maelezo wakilizika nayo watakupa kibali baada ya hapo itakubidi u i publish hiyo habari ya kupotelewa kwa cheti kwenye gazeti la serikali then chukua izo nyaraka. rudi balaza kwa utaratibu unaofuata
Ndio lazima kwanza utangaze pili kwa nnavojua hua hawatoi cheti cha pili ila wa wanakupa statement resultShukurani mkuu kutangaza kwenye gazeti Ni lazima au? Pia baada ya hiyo process kama sijakipata watanipa kingine?