Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ndugu zangu katika imani, nimetoka tena isipokuwa mara hii nimekuja kivingine . Lengo kubwa la mada hii ni kutoa ushauri kwa nia njema tu kwa dini ambazo bado zinaamini kuwa mfumo kale ndio...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wasalam wana jukwaa! Kwanza kabisa Namshukur Mungu kwa uhai. Tangu nijiunge Jamii Forum yapita miaka kadhaa sasa, na nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwa watu wenye uelewa wa mambo katika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naandika Uzi huu nikiwa sina kinyongo chochote ila nikihitaji kujua zaidi. Nini umuhimu Wa police na bunduki kwenye vituo vya kufanyia mitihani drs LA saba ,form four, na six necta?? Kuna...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Natafuta mkufunzi anifundishe kijerumani,nitamlipa aina shida
1 Reactions
77 Replies
46K Views
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Nimeuliza hivi kwa sababu chuoni kuna fomu ambazo hao viongozi wa institute of engineering wanagawa na unalipia tsh 5000 kwa ajili ya cheti bila mafunzo wala bila kufanya kitu chochote. Nilipo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Changamoto ya kila moja katika usomaji. Ipi ni kozi bora kati ya hizo kwenye soko la ajira (kujiajiri au kuajiriwa). Na pia yenye uwezo wa kuingiza pesa zaidi na kukupa muda wa kufanya mambo...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wale wa Mzumbe Sec Advance 2004 - 2006 wanamkumbuka Vizuri. RIP Mkongwe Ngaiza Soma zaidi >>>>>>>Ngaiza asante kwa kuandaa vitabu
1 Reactions
31 Replies
13K Views
Kam Uzi unvocem mwenyew kujua anijuze!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wadau..Natumaini mko salama. Nina shida ya Academic prospectus ya chuo cha State University of Zanzibar ya mwaka 2018/2019 AU 2017/2018..Nimejarbu kutafuta online nimekosa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
0 Reactions
10 Replies
2K Views
vijana kama kuna mtu anandoto siku moja aje kuwa rais wa nchi hii basi usisome vyuo vya binafsi hasa vilivyo ndani ya nchi.kama ukisoma urais wa nchi hii sahau kabisa hakuna chuo cha binafsi...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Wana Jf habar zenu naomba msaada wa kituo cha tuition kwa maeneo ya mbuyuni-bunju hii ni kwaajili ya mdg wangu anaingia form3 mwakani,kushinda home tu naona ankuw zobaa msaada jmn!!!! Sent from...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MSHINDI WA Bongo Star Search, BBS 2018 Mshindi wa bongo Star search 2018 amepatikana. Mshindi ni mwanamke jina. SARAPHINE MICHAEL mwanafunzi wa BSC PETROLEUM CHEMISTRY, UDSM, ndie ameondoka na...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini Wakuu hivi ukisoma Business Information Technology unaweza ukafanya kazi benki?
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Shule 10 bora kitaifa std 7 katika matokeo 1.Raskazone(Tanga) 2.Nyamuge(Mwanza) 3.Twilohiki(Mara) 4.Kwema(Kahama-Shy) 5.Rocken Hill(Kahama-Shy) 6.Jkibira(Kagera) 7.St.Achileus(Kagera)...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Members kwa mwenye notes za advance form five na form six za Geography, Biology na Chemistry. Naomba
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Serikali imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018. >Wanafunzi 650,862 kati ya 662,035 waliofaulu wamechaguliwa katika awamu ya kwanza, hii ikiwa ni sawa na...
0 Reactions
52 Replies
48K Views
Ambaye atanisaidia katika kunifafanulia baadhi ya maswali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada eti zile fununu za diploma kupewa mkopo walimaanisha ni kwa diploma wanaoenda degree au wanaoanza diploma?? Naomba kusaidiwa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…