Broo umepata Papucci Ya Dochi wele nini?Natafuta mkufunzi anifundishe kijerumani,nitamlipa aina shida
Dah...Aina shida mkuu...ngoja nikuchekie na wa kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natafuta mkufunzi anifundishe kijerumani,nitamlipa aina shida
😂😂😂😂😂😂👌👌👌🎴👊 ww kweki roho mbaya 😂😂Dah...Aina shida mkuu...ngoja nikuchekie na wa kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo inboxNatafuta mkufunzi anifundishe kijerumani,nitamlipa aina shida
Hahahaaa umeona eeh ""aina shida""[emoji3]Samahani naomba nikushauri kitu..kabla hujaamua kufundishwa kijerumani unionaje ukifundishwa kiswahili na sarufi zake?? nikiwa na maana ya kuwa kukiandika!.. ili ukiingiza nondo za kijerumani usichapie chapie km hivyo uloivyoandika[emoji16][emoji16]! maana km neno German nahis utaandika Gelman![emoji4][emoji4][emoji4]
Kwa ushauri huu tu ulipaswa ulipwe😀Samahani naomba nikushauri kitu..kabla hujaamua kufundishwa kijerumani unionaje ukifundishwa kiswahili na sarufi zake?? nikiwa na maana ya kuwa kukiandika!.. ili ukiingiza nondo za kijerumani usichapie chapie km hivyo uloivyoandika😁😁! maana km neno German nahis utaandika Gelman!😊😊😊
😂😂😂😂👊Kwa ushauri huu tu ulipaswa ulipwe😀
Au wale wa "hamecheka"😀😀😀Hahahaaa umeona eeh ""aina shida""[emoji3]
😂😂😶👏👏Hahahaaa umeona eeh ""aina shida""[emoji3]
😂😂nakwazikagaAu wale wa "hamecheka"😀😀😀
😂😂sikijui ila hapa unatudanganyawenn Sie einen Deutschlehrer finden, hier bin ich![emoji41][emoji41][emoji41]
Mimi pia, wanaharibu sana😂😂nakwazikaga
Kweli amedanganya😂😂sikijui ila hapa unatudanganya
lüge nichts![emoji41][emoji23][emoji23]sikijui ila hapa unatudanganya