kubwi
Member
- Dec 22, 2017
- 51
- 66
Jamani naandika Uzi huu nikiwa sina kinyongo chochote ila nikihitaji kujua zaidi.
Nini umuhimu Wa police na bunduki kwenye vituo vya kufanyia mitihani drs LA saba ,form four, na six necta??
Kuna hatari gani inayokisiwa kutokea hadi ikahatarisha Amani?
Utaratibu huu ulianza lini kwenu ninyi Wa zamani ?au zamani ulikuwepo?
Je ,nchi nyingine zina utaratibu huu?
Kwa nini ngazi ya chuo kikuu wasipelekwe huko ma police ambako kwangu naona ndo kuna mtihani wenye uzito zaidi?
USHAURI😛olice waje bila bunduki walinde mitihani bila siraha ni kuwatisha watoto.