Elimu ya dini ni ya kale. Mfumo wake ubadilike uendane na mazingira ya sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya dini ni ya kale. Mfumo wake ubadilike uendane na mazingira ya sasa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jumakidogo, Dec 20, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu katika imani, nimetoka tena isipokuwa mara hii nimekuja kivingine . Lengo kubwa la mada hii ni kutoa ushauri kwa nia njema tu kwa dini ambazo bado zinaamini kuwa mfumo kale ndio ukombozi pekee kwa maisha ya binadamu. Lazima jamii hiyo itambue kuwa, elimu dunia ndio pekee inayomuwezesha binadamu kujiamini katika kukabialiana na maisha ya sasa ambayo yametawaliwa zaidi na mambo ya sayansi na teknolojia. Dini ambazo zinaanzisha madarasa kwa ajili ya kufundisha elimu ya dini tu, zibadilike sasa kimfumo na kuingiza masomo ya kawaida ya elimu ya dunia ili kuwawezesha watoto hao kupata maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao badala ya kutumia muda mwingi kujifunza na kukariri simulizi za kale zinazosimuliwa kupitia vitabu vya dini hizo. Wapo wanadini wanaolalamika kuwa wanapunjwa nafasi yao ya kupata elimu, bila ya shaka tunaangalia sana pale tulipoangukia badala ya kutoa kisiki tulichojikwaa. Bila ya shaka mfumo ambao nimeupendekeza ungefuatwa tangu awali, pengine leo hii malalamiko yasiyo na msingi yasingekuwepo. Tuache kulalamika hovyo. Elimu ya dini ina umuhimu wake lakini elimu ya dunia pia ina umuhimu wa pekee kwa maisha ya sasa. Kama tunataka wanaharakati wenye elimu ambao sio mbumbumbu, wenye kujenga hoja za msingi katika kutetea harakati za dini zetu. Ni lazima Tuweke mikakati madhubuti kuhakikisha tunakuwa siyo wasumbufu tena kwa kudai mambo ambayo tuna uwezo nayo. Tuache kuhimizana kuoa wake wengi, fursa hiyo tuitumie kuhimiza watu wapeleke watoto wao shule kwa wing.
   
 2. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  naona we ***** umekazana na ujinga wako! Ungeanza kumshauri na kumfundisha babaako kuvaa suruali
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  Hili ni wazo zuri sana, adui ujinga hawezi kutokomezwa kwa hadithi za kale pekee, ni vena kuwapa watoto muda mrefu zaidi katika elimu ya duniani ili waweze kujikomboa kifikra na kuweza kupambana na changamoto zinazotukabili na kuacha kulalamika kila kukicha bila kuwa na mikakati dhabiti juu ya maendeleo.
  Kwa mfano, Sheikh wa mkoa wa Dar leo ktk taarifa ya habari ya jioni TBC amesema kuwa waislam wengi hawajui maana ya MOU na kuwashauri wasifanye maandamano kupinga swala hili la MOU bali waandae miradi yao ya kijamii kama makanisa yalivyofanya na wao watapata ruzuku za kusimamia miradi hiyo ya huduma za kijamii; mfano huu unadhihirisha kutokuwa na elimu kunasababisha baadhi ya watu kuacha kufanya jitihada za maendeleo na kupoteza wakati kwa kuandamana kupinga maendeleo ya huduma za kijamii yanayofanywa na madhehebu mengine.
  An empty head is devil's workshop.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Mleta maada pamoja na mkuu Daudi Mchambuzi wanaleta faraja katikati ya bahari iliyojaa woga unaotokana na tamaduni za kale na ubishi unaotokana na ujinga kama alioonyesha Ally Kombo.

  Yaani Ally Kombo alivyopost tu unaona ni mtu asiye staha wala upeo.
   
 5. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuvaa msuli kutwa, kanzu na suruali fupi kwako wewe ndio ukombozi wako wa mwisho wa fikra. Kwa taarifa yako baba yangu ni shekhe mkubwa sana. Lakini napingana naye kwa sababu elimu ya dini haikumfikisha popote. Baki na uboza wako!
   
 6. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana, wazee wa zamani imani zao zimetufikisha hapa tulipo. Kulikuwa na tofauti kubwa, wakati shule za wamishionari na zile za kikoloni zilikuwa zinatoa elimu dunia ambayo ndiyo msingi wa maisha bora kwa sasa. Wazee wetu walikuwa wakiwaficha watoto wao kwa sababu ya tofauti za kiimani. Tumechoka, tunataka elimu sasa ili iwe ukombozi kwa vizazi vijavyo. Hakuna anayekataza kusoma dini, lakini isiwe mfano wa kizuizi cha kujifunza mambo mengine.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  An empty head is devil's workshop.
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ungetoka kwenye ukafiri kwanza ndipo utoe ushauri kwa watu walioamini, otherwise wewe na wenzio ni wanafiki tuu ! Waislaam ni kati ya watu wa kwanza duniani kuwa na chuo kikuu. Nenda Timbuktu, au Misri kiko mpaka leo zaidi ya miaka 500. Wewe ni nani kujifanya unatoa solution! sambamba na Makerere, Waislaam walishajiunga kujenga chuo kikuu. Nini kilitokea ? Ni mambo gani Kighoma Ally Malima aligundua alipokuwa wizara ya elimu? Pelekeni unafiki wenu kwa ndugu zenu
   
 9. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hii ni post ya pili ya mada ya aina moja anatupia humu ndani na wachangiaji wanaounga mkono ni wagalatia na wakorintho. Ndo kusema kwa sasa mnahuruma sana na sie ! Mngesilimu kwanza kisha mje na hiyo huruma. Huyu anachofanya ni kejeli tuu ! Na tunajua, ndio maana hii ni post ya pili yenye mada moja ! Haya
  wagalati, wakorintho na wakolosai na waroma mwageni nyaraka !
   
 10. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wewe nimegundua kichwa chako afadhali ya boga. Yaani mwanangu nimpeleke akasome chuo kikuu cha waislamu wa Timbuktu? Au misri . Tangu uislam uingie Tanzania mpaka leo tulikuwa wapi? Nyie ndiyo mnaoturudisha nyuma. Punguza wake, peleka watoto shule wewe. Hapo nimesema tuachane na mambo ya kale, wewe unarudia kuleta mambo ya historia hapa. Punguza kuwa mtumwa wa warabu. Chukulia dini kama utaratibu wa kawaida tu katika maisha. Tuachane na ubishi ambao hauna tija.
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tatizo mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali. Maneno yako yanaonyesha kiwango duni cha upeo wako wa kufikiri. Unakwenda mbele hatua tano, kisha nyuma unarudi hatu saba nawe unataka kwenda mbele utafika lini? Tuweke tofauti za dini kando, tuseme ukweli! Unadhani watoto wote wa kislamu watasoma vipi katika chuo kikuu kimoja tu. Hujiulizi? Tuamke ndugu, majungu yaweke pembeni. Tafuta ukombozi wa kweli, achana na fikra mgando. Jenga hoja na maneno ya busara vinginevyo umbumbumbu wako utafanya wote vichwa vyetu vionekane kama vya kuku tu.
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Sentensi yako ya kwanza umejitowa kwa Waislaam na nijuwa wewe ni mnafiki, huna tofauti yeyote na Wagalatia !
  '' na unapowaona, miili yao inakupendeza, na kama wakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama boriti zilizotegemezwa, wanadhani kila kishindo ni juu yao (kuwatafuta wao). Hao ni maadui jihadharini nao. Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali ! (amiin!) Vipi wanapotoka katika haki ! Quran: Al Munaafiqun 63:4. Umewahi kuchangia madrasa yeyote au kulea yatima wewe ?
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tunafuata dini kwa mazoea tu. Lazima tujue kuwa huo ni utamaduni wa kigeni kwetu, Mdrasa zikianza kufundisha Hisabati, Jiografia, Sayansi nk ntachangia. Umeingiza suala la kusaidia watoto yatima. Hujui lolote wewe! Kuchangia watoto yatima sio lazima uwe mwislamu. Hata mpagani anaweza kutoa msaada kwa watoto yatima.
   
 14. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Exactly kabisa! Na sio mara 1 tuu, ni mvivu wa kufikir sana huyu kombo! Nafikiri atakuwa maskin wa vitu ving sana!
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Uislaam kwangu ndio utajiri ! Hayo mengine ni mapambo ya dunia !
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Unafiki wako unazidi kujidhirisha na ndio maana unasema 'dini ni utamaduni wa kigeni' na tunafuata dini kwa mazoea ! Hivyo wewe si miongoni mwa Wanaomini, kifupi wewe ni Kafiri tuu. Huna haja yakuwaonea huruma, wala kuwasemea Waislaam. Kwani jiografia na hisabati hazifundishwi madrasa !? Huna unalo lijua unafiki wako umeuweka wazi hadharani ! Just come with ur true colours.
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ni bora uwe tajiri lakini uwe na elimu. Kuliko kuwa tajiri mjinga,
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nimesema utajiri wangu ni Uislaam na yaliyobaki ni ya dunia ! '' Watu wametiwa huba (mapenzi mazito) ya kupenda mali na watoto na mirundi ya dhahabu na fedha na farasi wanaotunzwa vizuri na wanyama na mashamba. Na hayo ni matumizi ya maisha ya dunia: na kwa Mwenyezi Mungu ndiko kwenye marejeo mazuri. Quran Al Imran; 3:14.
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ...................eti mtoto wa Sheikh (soma post yako No.8) .................. Kweli Muumin, anaweza kuhoji vitu hivi (1, 2, 3)? yaani dini ni fashion !?

  "Wala wasikuhuzunisheni wale wanaokimbilia ukafirini. Hakika hao hawamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anataka asiwawekee sehemu yeyote katika ahera, na yao wao ni adhabu kubwa" Quran:Al Imran 176.

  "Waachilie mbali waliofanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghilibu. Nawe kumbusha kwayo, isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyoyachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi ila Mwenyezi Mungu. Na ngetoa kila fidia (hiyo nafsi) haitokubaliwa. Hao ndio walioangamizwa kwa sababu ya yale walioyachuma. Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu." Quran: Al An am: 70.
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yaani ktk watu vilaza ww nafikiri umetia fora_yaani unatoa povu kwa mambo yote ya kipuuzi na kijinga,...unatetea dini/utamaduni wa kubaguana na kutengana na kuleteana maugonvi,..huyo mungu wako anayetaka wengine waangamie(wakati yeye mwenyewe anasema kaumba watu wate) hana maana na nafasi katika ulimwengu uliostaarabika,...unang'ang'ana kuchangia madrasa(mwaita chuo)ili iweje...........yaani wewe ni bure kuliko kitu chochote hapa Jf
   
Loading...