MSAADA::State University of Zanzibar Prospectus 2018/2019 AU 2017/2018

ICT_student_TZ

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
392
175
Habari zenu wadau..Natumaini mko salama.

Nina shida ya Academic prospectus ya chuo cha State University of Zanzibar ya mwaka 2018/2019 AU 2017/2018..Nimejarbu kutafuta online nimekosa zaidi naiona ya mwaka 2014/2015 ambayo haina programu ya "Bachelor Degree in Information Technology with Accounting"..shida yangu hasa nijue wanafundisha modules zipi kwenye hiyo programu.

Natanguliza shukranii.
 
Write your reply...Sijui Mambo ya elimu za juu ila Nina rafiki yangu fb anatumia jina la El maestro Hassan mfuate huyo fb atakupa maelezo ya kutosha
 
Back
Top Bottom