Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,245
Jamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
Mbona unauliza tu swali. Hujasema Juhudi ulizofanya, kwenda board kufanya transfer, kumfuatilia loan officer wenuJamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
Nimemfuata loan officer anasema majina kapekeka bodi nao bodi wanasema niende loan officer xa apo ndo sielewiMbona unauliza tu swali. Hujasema Juhudi ulizofanya, kwenda board kufanya transfer, kumfuatilia loan officer wenu
Chuo ulicho chaguliwa kwanza vipi jina lako linaenda?Nimemfuata loan officer anasema majina kapekeka bodi nao bodi wanasema niende loan officer xa apo ndo sielewi
Kaonane na uongozi wa wanafunzi wa chuo chako kwa taarifa rasmi.Jamani kwa anaye jua ni lini mkopo huwa unafika chuo kwa mtu ambaye mkopo wake umeenda chuo kingine maana uku maisha ni utata chuo pasi ndefu itaniua
Ndiyo upo mocuChuo ulicho chaguliwa kwanza vipi jina lako linaenda?
Du tuko wengi wanafunzi kama 68 toka awamu ya kwanza adi ya nne nimejaribu kwenda wanasema endeleeni kusubili vyuo vingipe wamepata ni mzumbe mbeya campusKaonane na uongozi wa wanafunzi wa chuo chako kwa taarifa rasmi.
Ushauri wako nifuatilie vpSemista ya pili au unaweza usifike mwka mzma kama hutafatiliaa
Poleni sana.. Huwa inachalewa kiukweli, sifa uvumilivuDt
Du tuko wengi wanafunzi kama 68 toka awamu ya kwanza adi ya nne nimejaribu kwenda wanasema endeleeni kusubili vyuo vingipe wamepata ni mzumbe mbeya campus
Da shughuli pevuPoleni sana.. Huwa inachalewa kiukweli, sifa uvumilivu