Bachelor of science in Engineering Vs Bachelor of Engineering in...

Philemon38

Member
Joined
May 30, 2018
Posts
74
Reaction score
33
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
 
BSc vs Beng
 
Bsc in engineering ime base upande wa theory zaidi. Ukiangalia hata prospectus masomoyalivyo mengini theory oriented.

B.eng ni practical based studies. Hii masomo mengi ni ya kazi kwa vitendo. Mtaala wa aina hii hutumiawa na vyuo kama DIT MUST ATC

Ok thanks,vp katika soko la ajira mtaan ,Ni nan anaangaliwa zaid
 
B.eng mkuu. Hii unatoka umeiva kivitendo, na ndio wataalam wengi huchukuliwa kutoka huko
 
Ok thanks mkuu, lakin kuna utata hapa ,why vyuo maarufu hapa nchi kwetu vimejikita katika BSc kuliko B.eng? i.e udsm engineering zote zipo katika mfumo wa BSc ,😱
 
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
 
Sawa kiongoz,but katika pita pita zangu mitandaon niliwah kutana na tangazo la ajira katika mambo ya engineering ,katika tangazo hilo kuna baadhi ya kazi zilikuwa special kwa watu walosoma chuo fulan,yani tangazo likitaka kwa baadhi ya kazi wasimbe watu kutoka chuo flan tu, sasa hili kiongoz unalisemea vp
 
Kaka tofauti iko kubwa sana tu. tena kama umeshawahi kuwapiga interview mtu wa udsm na Dit utaona tofauti kubwa iliyopo. Na namaanisha ilr heavy interview.

Ndio maana prospectus ya B.eng na Bsc zina tofauti.. hazifanani sababu zina focus tofauti.
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
 
kaka asikudanganye mtu hakuna tofauti yoyote mdogo wangu amesoma DIT computer engineering hamna tofauti yoyote kaka vyuo vinaweka majina tuu ilikuvutia watu lakini upande wa degree za science kuwa vizuri ni wewe mwenyewe sio chuo
Siyo kweli,B,Engg -60/40% ( Practical/Theory )wakati B.Sc in Engg ni 40/60% (Practical/Theory)_muda wa mafunzo
 
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?
Hakuna tofauti,mwisho wa siku wote wanatoa maEngineer
 
Siamin Kama mtu aliyetumia mda mwing kufanya practical atakuwa sawa na mtu aliyetumia mda mwing kusoma theory, lazima tofaut iwe kubwa
 
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of engineering in mechanical engineering?

tofauti iliyo hapo anaye somea elimu ya mtaani kupitia shule na anayesomea elimu ya mtaani kupitia bila kupitia shule kwa akili yake iliyo mpeleka
 
Ok thanks mkuu, lakin kuna utata hapa ,why vyuo maarufu hapa nchi kwetu vimejikita katika BSc kuliko B.eng? i.e udsm engineering zote zipo katika mfumo wa BSc ,😱
Kuna Professor wangu mmoja aliwahi kuniambia, chuo kikuu kazi yake kubwa ni kufundisha "kufikiri" sio kutenda. Ukiweza "kufikiri" watu wa kutenda wapo au unaweza kuelekeza namna ya kutenda.
 
Kuna Professor wangu mmoja aliwahi kuniambia, chuo kikuu kazi yake kubwa ni kufundisha "kufikiri" sio kutenda. Ukiweza "kufikiri" watu wa kutenda wapo au unaweza kuelekeza namba ya kutenda.
Na kama hujui kufikiri basi hujui theory, hujui analysis.
 
Back
Top Bottom