Kumi bora std seven kagera wamependelewa au ni akili 50% kutoka kagera, mikoa 29 ilobaki nayo 50%

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,971
2,000
Shule 10 bora kitaifa std 7 katika matokeo
1.Raskazone(Tanga)
2.Nyamuge(Mwanza)
3.Twilohiki(Mara)
4.Kwema(Kahama-Shy)
5.Rocken Hill(Kahama-Shy)
6.Jkibira(Kagera)
7.St.Achileus(Kagera)
8.Kiwanuka(Kagera)
9.St.Severine(Kagera)
10.Rweikiza(Kagera)

Sasa najiuliza ile kanda ya ziwa ukiweka na kagera inamaana shule iliyotoka nje ya kanda ya ziwa ni 2 tu
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,593
2,000
Mkuu Britannica, kabila linaloongoza kwa vichwa ni Wahaya, wanafuata Wachagga halafu Wanyakyusa.

Enzi za mkoloni tukifanya mtihani mmoja wa Cambridge, top walikuwa Waganda, Wahaya, Wanyarwanda,Wakikuyu, Wachagga etc, kama sio Mwalimu Nyerere kufuta hii kitu na kuweka different cut off point kwa mikoa fulani, kuna baadhi ya Makabila, shule wangeishia kuisikia tuu, tena kama sio WA missionary kuokoa jahazi kusomesha kila mtu, kuna watu humu wangeishia...

Nafanya utafiti kama ni kula ndizi, kulima kahawa, moist cool climate or
green environment.
Niliwahi kuuliza hili swali humu, watu humu walikuja juu

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
 
MasterGamaliel

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
616
1,000
Hakuna uhusiano kati ya Kabila, Umaskini wake wala Kimo chao, Ila kuna impact ya Selection of Human Ancestral Genetics, Geographical environment na makuzi ya warithishi wa mambo muhimu ya jamii (raising children) kwa kuzingatia matakwa ya jamii yenyewe. Such strong built institutions will always shine!!!
 
Kijibabu

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
387
500
Mkuu Britannica, kabila linaloongoza kwa vichwa ni Wahaya, wanafuata Wachagga halafu Wanyakyusa.

Enzi za mkoloni tukifanya mtihani mmoja wa Cambridge, top walikuwa Waganda, Wahaya, Wanyarwanda,Wakikuyu, Wachagga etc, kama sio Mwalimu Nyerere kufuta hii kitu na kuweka different cut off point kwa mikoa fulani, kuna baadhi ya Makabila, shule wangeishia kuisikia tuu, tena kama sio WA missionary kuokoa jahazi kusomesha kila mtu, kuna watu humu wangeishia...

Nafanya utafiti kama ni kula ndizi, kulima kahawa, moist cool climate or
green environment.
Niliwahi kuuliza hili swali humu, watu humu walikuja juu

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
Upo Sawa kabisa katika point ya kupangiwa shule za sekondari kulingana na eneo ulipotoka na sio alama ulizopata. Hii ilisaidia sana kupata wasomi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Mi binafsi nilishuhudia baadhi ya mikoa wanafunzi walikua na alama za chini lakini walichaguliwa shule za vipaji ili tu kuwe na balance baina ya mikoa. Ni jambo zuri ingawa ni uvunjaji wa haki.

Mpaka Sasa hali hiyo bado ipo Unakuta mwanafunzi x ana alama 205/250 anaenda shule ya kata wakati kuna mwanafunzi y kutoka nanjilinji ana alama 170/250 anaenda special. Hii inachangia kufanya vibaya kwa shule zetu za serikali ( special & technical schools) kwa sababu kuna wanafunzi wapo vizuri sana lakini wanaangushwa na vilaza.
 
Nasikia hata Profesa kabudi alipata 64/100 kwa masomo ya Cambridge akapelekwa vipaji maalumu, ila cha kushangaza mzee Lwankomezi alipata 79/100 akaachwa kwa kuwa kagera walitoka wa 86hadi 93 mzee kamala mwaka huo huo
 
Kwa Tanzania mpaka kesho, cut off point ya Bukoba ipo juu inafuatiwa na Kilimanjaro ambayo nayo imegawanywa kwa upareni kushushwa.

Arusha kabla ya Manyara kumegwa kuna two cut off points kwa shule za watoto wa makabila ya wafugaji iko low na the lowest ni watoto wa kabila la Hadzabe hawa ni endangered species, wanakamatwa kwa nguvu na kufungiwa shule last time wanne walifanikiwa kufika Standard seven, walifeli wote, cut off point kwa shule zao ni kumaliza la 7.
Hao wanne walipelekwa Pugu na kulindwa for 4 years, wote wanne walipata Division 0, wakarudishwa kwao wakiwa civilised wakapewa na nguo za kuwagawia wenzao na Wakawajengea modern fixed houses with modern amenities.

Serikali iliporudi kuwafanyia follow up, walikuta nyumba tupu na hadi nguo zao pia walizivua na kurejea asili yao. I don't know the situation as of now!.

Kiukweli utaratibu huu japo umesaidia kuleta usawa kidogo lakini majanga ni makubwa zaidi kwa taifa kupoteza a big potential ya brilliant brain power at the expense ya vilaza.
P
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,593
2,000
Nasikia hata Profesa kabudi alipata 64/100 kwa masomo ya Cambridge akapelekwa vipaji maalumu, ila cha kushangaza mzee Lwankomezi alipata 79/100 akaachwa kwa kuwa kagera walitoka wa 86hadi 93 mzee kamala mwaka huo huo
Japo sijui Prof. Palamagamba Kabudi aliingia sekondari kwa points ngapi na alipata nini, ila pale UDSM, Kabudi amenifundisha and in fact ndie supervisor wangu wa LL.B dissertation, jamaa ni kichwa mbaya na genius wa ukweli, ana photographic memory. Mpaka sasa ndie anashikilia top GPA kwa UDSM na rekodi yake haijawahi kuvunjwa, jamaa alitoka na GPA ya 4.9. Mwisho wa GPA ni 5.0 mpaka sasa UDSM hakuna mwanafunzi hata aliyemkaribia Kabudi hata kwa 4.8!, hivyo huyu jamaa ni habari nyingine.

N.B, kuwa genius ni jambo moja, na kuutumia huo ugenius ni jambo jingine, na kuna ushahidi wa ma genius kufanya mambo ya ajabu. Sir Issac Newton aliyegundua gravitational force na newton's laws of motion, kwenye kufanya experiment ya yai linachukua muda gani kuanza kuchemka, alishika yai mkononi na kulitizama huku amechemsha saa jikoni!.

Archimedes ndiye aliyegundua the law of floatation, siku anagundua alikuwa bafuni akioga kwenye bathtub, alitoka mbio hivyo hivyo kama alivyozaliwa na kuingia mtaani huku akiimba "eureka eureka"
P.
 
munkango

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
353
1,000
Kutokana na cut off point ya Bukoba kuwa juu, wahaya walichuku hatua kadhaa, kwanza kuwaandikisha watoto kwa kutumia majina ya kidini pekee mfano mtu anaitwa Anatory Pastory badala ya Anatory Rweyemamu.
Pia kuna jamii kama Waziba wa Kanyigo walikuwa na mkakati wa kupeleka watoto kusomea mikoa mingine, mfano kama uko Dodoma na unafanya kazi utaletewa watoto wawili na utawahudumia wasome kutokea kwako ili waweze kuchaguliwa kwenda sekondari na haikujalisha kama ni ndugu zako ama la.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom