Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora.
Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya...
Habari zenu wapendwa wanajukwaa.
Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada...
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona...
Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua...
Wakuu Habari zenu,
Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri.
Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia.
Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado...
Rev.Prof. Philbert Vumilia
Vice Chancellor ,Mwecau: Changamoto za Wanafunzi wa Masters
Chuo Kikuu cha Mwecau kimekuwa kivutio kwa wanafunzi wengi wanaotaka kupata shahada za uzamili (Masters)...
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dkt. Angela Katabaro (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation...
Naomba kujua,
Nimepata taarifa kuwa clinical officer asiyepita form six, anawekewa mizengwe ya kunyimwa chance ya kusoma degree!
Je, hili Lina ukweli wa kiwango gani jamani?
Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena:
1. Tembelea Jamii Forums
Hapa utapata makala...
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Vyoo hivyo ni vichafu kupita...
Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike...
Ndg mzazi/mlezi / mwanafunzi. Tunakutangazia masomo ya ziada yaani tuition kwa kipindi cha likizo .masomo yatayofundishwa hasa ni sayansi.
ADVANCE
1. Chemistry
-Organic chemistry 1&2 @50,000/=...
Karibu tukupe mfumo mzuri wa kuchakata matokeo kwa shule zote nchini hata zile za mitaala mpya tunazo. zipo kuanzia primary hadi vyuo vya ufundi. nipigie 0682744740 tujadiliane!
tembelea pia...
Mara Nyingi Sana jina linaweza kuwa sababu ya wewe Kupenya ama Kukwama kwenye maisha. Baada ya matokeo ya Kidato cha Nne siku ya Jana Story kubwa ni Mchina aliye pata nafasi ya Pili kitaifa ambaye...
Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business...