Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nikisoma diploma in nursing and midwifery naweza kuwa specialist?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu... naomba mnisaidie kujua vyuo vizuri vinavyotoa mafunzo ya IT, ICT au COMPUTER SCIENCE..Ngazi ya DIPLOMA ....na fees zao kama ikiwezekana.. Kwasababu nataka mwakani nikasomee...
1 Reactions
55 Replies
15K Views
Habari za mihangaiko wanajamii forum, Naomba anaye elewa vizuri vyuo hivi viwili ( university of computing centre & collage of information and technology engineering). Kati ya vyuo hivyo viwili...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu naomben ushaur,,nmemalza form 6 na nkapata div.3 kwa comb ya CBG,,chemistry S,,Biology E na Geography D,,je naweza kusomea nn kwa matokeo hayo??,ntashukuru kwa ushauri...
0 Reactions
7 Replies
955 Views
Habar wakuu Naomba kujulishwa ni namna gan naweza kujifunza kiingereza mimi mwenyewe na kuweza kuongea bila kusitasita, kwa sasa naweza kwa kiwango kidogo sana Ni vitabu gani nisome...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Kufa utakufa hakika! Kufa hutakufa hakika! Hizi ni kauli mbili ambazo tofaut zake ni (h) Tuwe makini maana shetan yupo na anafanya kazi kwa kasi sana! Unajua kabsa hii ni nyeupe ila yeye...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari zenu wadau Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni mmoja kati ya waliopangiwa chuo cha mipango mwanza Je ni course gani wanazitoa? Je ni bora niende huko au nitafute mbadala mwingine...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Darasa bado linaendelea youtube kwa lugha ya Kiswahili nimepost kipindi kipya, Ingia YouTube andika Director Chuma utanipata Karibu utumie vema fursa hii ya kupata au kuongeza ujuzi bure kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kujua mitihani ya cdfp hapa tz inatolewa wapi na vipi kuhusu hii certificate INA umuhimu wowote tz .maana naona inaemphasiziwa sana marekani .....nasoma bachelor ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mungu alimpa kila mtu kipaji cha kuzaliwa kuna wanasoka wanamasumbwi wachekeshaji wakimbiaji waimbaji n.k kama maneno hayo juu ni kweli basi bila shaka hayati Shaaban Robert na William...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wapendwa. Mm ni mwanafunzi wa board ya Ugavi na manunuzi Psptb. Nilikuwa naomba kwa wale ambao wameshasoma P3 msaada wa soft copies za notes, Kwa wale watakao sema niende board...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za usiku wakuu. Bila kupoteza muda,niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa kiume ambaye nilihitimu kidato cha sita miaka 4 iliyopita lakini sikufanikiwa kwenda chuo kikuu kwani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi
Hivi waugwana napenda jujua starblizer kwa siku hinatumia unit ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
638 Views
Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne leo. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya...
4 Reactions
429 Replies
69K Views
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa...
10 Reactions
136 Replies
20K Views
Habari zenu wadau natumaini wote muwazima M nimefaulu form 4 nimebalance combination ya HGL. Je naeza soma HGL na nikachukua Na Basic applied mathematics Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Call for Application The general Public is hereby informed that, the National Institute for International Education (NIIED) under the Ministry of Education of the Republic of Korea is offering...
1 Reactions
0 Replies
765 Views
Habarizenu wana JF Naombeni ushauri ni Kampuni gani nzuri ya kufanyia field kwa maan natarajia kufanya hivyo, nasoma Zanzibar, nipo ICT na biashara. Mi mwenyewe nilipendelea sana hizi hapa TTCL...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The Public Affairs Section of the United States Embassy in Dar es Salaam is seeking qualified candidates for the Fulbright Foreign Student Program. Online applications are now available starting...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
SCHOLARSHIP TENABLE IN PEOPLE’S REPUBLIC OF CHINA FOR THE ACADEMIC YEAR 2019/2020 The General Public is hereby informed that, the Chinese Government has opened new scholarships for Undergraduate...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom