Kuna tofauti gani kati ya UCC & Collage of Information and Technology engineering(CoICT)?

remy_official

Member
Apr 13, 2017
27
14
Habari za mihangaiko wanajamii forum,

Naomba anaye elewa vizuri vyuo hivi viwili ( university of computing centre & collage of information and technology engineering).

Kati ya vyuo hivyo viwili vya university of Dar es salaam upande wa ICT ningependa kujua ni kipi kina ubora kutokana na course zinazotolewa hapo kwa ngazi ya certificate

Maana kijana wangu anataka kusoma IT ila sijajua vzur kati ya IT na computer science kipi ni bora na kitamsaidia yeye kujiajili mwenyewe.
 
UCC_University of dar es salaam computer centre.(Dar,Mbeya branches)
Offers certificate and diploma in IT.
CoICT_College of information and communication technology.(UDSM~Kijitonyama)
offers bachelor's degree and....in ICT.
Nadhani hapo utakuw umepata mwanga,kidogo.
 
Habari za mihangaiko wanajamii forum,

Naomba anaye elewa vizuri vyuo hivi viwili ( university of computing centre & collage of information and technology engineering).

Kati ya vyuo hivyo viwili vya university of Dar es salaam upande wa ICT ningependa kujua ni kipi kina ubora kutokana na course zinazotolewa hapo kwa ngazi ya certificate

Maana kijana wangu anataka kusoma IT ila sijajua vzur kati ya IT na computer science kipi ni bora na kitamsaidia yeye kujiajili mwenyewe.
Kwa uwelewa wangu UCC ndo computer center ya chuo cha dar es salaam na hao wengine ndio college (Ndaki) ya chuo cha UDSM iliyo na majukumu ya research na training ya mambo ya computer kuanzia degree hadi PhD. Computer center ndio wanaendesha computer based information systems za chuo lakini pia wanafundisha IT na CS kwa level ya certificate na diploma (nafikiri kwa mfumo wa NACTE-NTA level 4-6). Hivyo wanamajukumu tofauti, kwa mwanao then aombe UCC. Tafadhali angalia mchango #7 na #8 kwa usahihi zaidi.
 
Habari za mihangaiko wanajamii forum,

Naomba anaye elewa vizuri vyuo hivi viwili ( university of computing centre & collage of information and technology engineering).

Kati ya vyuo hivyo viwili vya university of Dar es salaam upande wa ICT ningependa kujua ni kipi kina ubora kutokana na course zinazotolewa hapo kwa ngazi ya certificate

Maana kijana wangu anataka kusoma IT ila sijajua vzur kati ya IT na computer science kipi ni bora na kitamsaidia yeye kujiajili mwenyewe.

Tofauti ni hii
University Computing Centre(UCC) ni kitengo kilicho nje ya UDSM ambacho kimeanzishwa na wafanyakazi wa COICT kama mradi ambao una malengo ya kutoa elimu ya teknolojia ya mawasiliano na kufanya kazi mbalimbali za ICT kama kampuni nyengine za ICT....
UCC huwa wanachukua wanafunzi hata wenye ufaulu wa chini kuwa train kwenye masuala ya IT na Proffesional Courses mbalimbali

COICT wao kwa level ya Certificate wanatoa Computer science tu na mwanafunzi lazima awe ana ufaulu wa D kwenye masomo ya sayansi

Kwa Summary COICT ni Academic zaidi wakati UCC ni Proffesionalism zaidi

Kama anakizi vigezo akasome Computer science COICT ila kama hajakizi vizuri basi aende UCC
 
remy_official Baada ya kusoma mchango #7 wa fungi nimecheck tena facts zangu nakubaliana nae kuwa COICT wanatoa pia certificate na diploma in Computer Science. Program zote zinahitaji at least 4 passes ambazo ni D na ile ya COICT inataka pass moja wapo iwe ya mathematics. Ya COICT pia ina mkazo kwenye hisabati (course 2) kuliko ile ya UCC. Baada ya kuziangalia kwa karibu ni kuwa ile ya COICT ni ya Computer Science na ile ya UCC ni ya Certificate in Information and Communication Technology (ambayo haihitaji hisibati kwa kiwango kile cha COICT). Vinginevyo ushauri wa Fungi ni safi.
 
Chuo gani kinafundisha compyuta kwa watoto wa nassary na wa primary. Yaani miaka 5 hadi 12?

Hawa madogo hapa home wananihangaisha. Wa darasa la.pili anataka kufanya programming kama mimi. Wa nassary hajui hata kisoma anaedit script na ku access web pages kwa haraka hata kunishonda. Home compyuta wanaijua kuitumia kuliko niliyeinunua.

Hivi lazima umalize form four ndio usomee fani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom