Tofautisha uyakinishi na ukanushi

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Kufa utakufa hakika! Kufa hutakufa hakika! Hizi ni kauli mbili ambazo tofaut zake ni (h)
Tuwe makini maana shetan yupo na anafanya kazi kwa kasi sana! Unajua kabsa hii ni nyeupe ila yeye anakuambia ni nyeusi
Hzi kauli ndo chanzo cha mauti na mateso ya mwanadamu had leo!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom