Nasoma ICT na Biashara: Nikafanyie field Kampuni gani

Nasoma ICT na Biashara: Nikafanyie field Kampuni gani

Princ

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
285
Reaction score
91
Habarizenu wana JF

Naombeni ushauri ni Kampuni gani nzuri ya kufanyia field kwa maan natarajia kufanya hivyo, nasoma Zanzibar, nipo ICT na biashara.

Mi mwenyewe nilipendelea sana hizi hapa
TTCL TANGA/DARC, CLOUDSFM VODACOM DAR pamoja na TCRA

Naomba ushauri labda kwa mwenye uzoefu wapi pange nifaa zaidi na ukizingatia kuwa home ni Tanga Mjini, Dar nina ndugu Buza na Mbagala.

Kama nipata na contact za hapo mahali itakuwa poa sana.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom