Ushauri

amojane

New Member
Feb 17, 2019
4
20
Wakuu naomben ushaur,,nmemalza form 6 na nkapata div.3 kwa comb ya CBG,,chemistry S,,Biology E na Geography D,,je naweza kusomea nn kwa matokeo hayo??,ntashukuru kwa ushauri utakaonipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom