Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili...
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na...
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.
Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.
Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure...
Habari zenu Wadau wa JamiiForums
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali...
Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza...
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho...
Naelekea Mwaka mmoja tangu nimemaliza masomo, ila nilibakiza research hapo Chuoni (Chuo Kikuu Huria). Nilipata kazi Uganda, kwahiyo nikaamua kubadilisha sehemu ninayotakiwa kufanya research yangu...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na...
Habari,
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kuacha vyuo, jambo ambalo mara nyingi limekuwa likihusishwa na uzembe wa wanafunzi au kushindwa kumudu majukumu mbalimbali...
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa...
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced...
Vyuo vya kati vya afya vinavyosimamiwa na NACTVET, hususan baadhi ya vyuo binafsi, vinapaswa kuweka mkazo zaidi katika ubora wa elimu na mafunzo ya wataalamu wa afya kuliko maslahi ya kibiashara...
Habari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile...
Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.
Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo...
Habari wadau;
Kuna Mdogo wangu alichaguliwa hii course "LOCOMOTIVE ENGINEERING IN DIESEL ELECTRICAL" Diploma Chuo cha reli hapo Morogoro.
Naomba mwenye uzoefu au taarifa muhimu na hii course...
Habari wana JF
Nimeikuta List hii somewhere, nafikiri ni useful kidogo kwa wale wenye watoto wanaotaka kuwapeleka A-Level.
Jina la shule, mkoa uliopo na COMBINATIONS zake.
SHULE ZA A-LEVEL NA...
Soma kwa Makini Hizi Scholarship Anza Kutuma Maombi:
๐๐ ๐ง๐ข๐ฃ ๐ฎ๐ฌ ๐๐จ๐๐๐ฌ ๐๐จ๐ก๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ข๐๐๐ฅ๐ฆ๐๐๐ฃ๐ฆ ๐ฌ๐ข๐จ ๐ฆ๐๐ข๐จ๐๐ ๐๐ก๐ข๐ช! ๐ฐโ๏ธ
Planning to study abroad with financial support? ๐
Here are 20 major international...
Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo.
Hata hivyo, mwaka huu chuo...