Naomba ufafanuzi kuhusu Kozi ya Ubaharia

Naomba ufafanuzi kuhusu Kozi ya Ubaharia

lodirofaa

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
25
Reaction score
62
Natumai wote ni wazima,

Nia yangu kubwa ni kufahamu je kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje?

Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana nikatamani kujua endapo kunakozi za mda mfupi.

Natumai nitapata majibu.
 
Nikajua unataka kua Baharia kumbe ubaharia.

Ngoja waje kukupa mwongozo
 
Natumai wote ni wazima
Nia yangu kubwa ni kufahamu je Kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje?

Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana nikatamani kujua endapo kunakozi za mda mfupi

Natumai nitapata majibu
Kozi ya mda mfupi ipo humu humu jukwaani,,,Tafta uzi wa “Je, ushawahi kula tunda kimasihara?” Humo kuna short course
 
Kuna chuo kipo pale Posta karibu na Azam marine au meli za Kilimanjaro linitwa D.M.I DAR ES SALAAM MARITIME INSTUTE Ni chuo Cha serikali kinatoa hizo kozi.
Screenshot_20210716-005915.jpg
 
Natumai wote ni wazima
Nia yangu kubwa ni kufahamu je Kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje?

Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana nikatamani kujua endapo kunakozi za mda mfupi

Natumai nitapata majibu
Kozi zipo DMI Mkuu..

Nakupa angalizo,,
Ubaharia ni hobby.
Ubaharia ni kazi.
Ubaharia ni wito..

Ukiwa huna moyo unaweza kuishia njiani..

Karibu seaman's life.
 
Kozi zipo DMI Mkuu..

Nakupa angalizo,,
Ubaharia ni hobby.
Ubaharia ni kazi.
Ubaharia ni wito..

Ukiwa huna moyo unaweza kuishia njiani..

Karibu seaman's life.
Fafanua, mkuu.

Unamaanisha nini kusema hivyo?
 
Kwann unasema kama Huna motor unaweza ischia njian mkuu
 
Kwann unasema kama Huna motor unaweza ischia njian mkuu
Unaweza ukasoma lakini ukasota sana kupata kazi,
Hilo ndy tatizo kuu la ubaharia .

Unahitaji uwe na michongo ya kazi.
 
Back
Top Bottom