Habari.
Kwa Wale wenye mpango wa kusoma afya.
Naomba nitaje course zisemi zinaajira Ila kwa mwenye upeo wa mbali hizi course zina fursa Sana hasa upande wa afya.
Course hizo ni.
1. BIOMEDICAL...
Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi.
Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati...
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au...
Kwa wale wote mliojaza b.a law enforcement udsm.hii ni degree special kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama na inatolewa udsm tu. mara nyingi jeshi la police limekuwa likiwachukua mapema kwa...
tanzania tuna vyuo vingi sana lakini nashanga sijui kwanini fani hizi tanzania hadi leo hiii fani hazitolewi katika vyuo vyetu ........
1.degree na diploma za graphics designs
2.degree na...
Wazee wa JamiiForums unavyozungumzia suala la shule za serikali zinazoingia 100 Bora katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato Cha nne ni special school pekee zinazoambulia patupu je special...
Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu
Elimu ya kikoloni
Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri
Na technology
Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe...
Wakuu habari
Naomba kuuliza, Kuna hii kozi inaitwa Geographical information systems ( GIS) and remote sensing ..
Naomba kupewa details zaidi kuhusu hii kozi,
Kama nitakuwa interested...
Heshima mbele wakuu,
Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike
Ninachohitaji:
1. Iwe nzuri...
Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA.
Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida...
LEO NGOJA NIKUMBUSHIE TUKIO ZURI SANA KUHUSU ELIMU
Ni muda mrefu sana sijaandika kuhusu Maswala ya ELIMU hivyo wengi wakanibatiza majina mara 'Mr Love ', 'KIBAMIA','Mwanaharati' na wengine...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo...
Wakuu hii system ni ya muda sana hapa Tanzania. Anatajwa kijana ambae ameongoza Tanzania nzima kidato cha nne au kidato cha sita wanapelekwa bungeni na zawadi kibao wanapewa lakini hadi leo hii...
Kwanza nashukru, nyote ni wazima wa afya .
Naombeni kuuliza hivi, ukisoma education na ulipata mkopo kama unataka kuongeza degree nyingine mara baada ya kihitimu. Unarudisha mkopo kwanza ndo...
SHUGHULI MUHIMU ZA ELIMU.
Na Mwl.Victor Mlaki.
Katika jamii changamani pamoja n maendeleo ya viwanda elimu ina umuhimu mkubwa sana, Wanafalsafa wa vipindi vyote vilivyotangulia walionesha namna...
Habari nduguzangu,
Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na...
Hello waungwana!
Imekuwa ikisemekana kuwa hesabu na masomo ya Sayansi ni ngumu sana na ugonjwa wa taifa!
Lakini kwa uzoefu wangu,nimegundua shida kubwa ipo katika mtazamo tunao jengewa na...