Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Baada ya uzi wa Mk54 kuhusu value retention fee ya 6% pamoja na mambo mengine, hatimaye bodi wametoa ufafanuzi sahihi wa jinsi makato yanavyokuwa. VRF inakatwa kila mwaka kutoka kwenye oustanding...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kaka zenu na Dada zenu tunepambana kufa kupona msuli tembo kupata tu hii cpa kwa kufanya masomo kumi...na kwa waliokuwa wakitaka kupata na acca walilazimika kufanya Tena masomo kumi ya acca...so...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari viongozi, naomba mwenye mawasiliano ya kibiti secondary school, niweze kujua jinsi ya kujiunga mwaka huu 2018/2019. Maana namba zote zilizopo kwenye website yao haipatikani. Shukran
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina hizi marks Div II pts 20 B/Keeping - C Commerce - C Maths - D History - C Geography - C Civics - C
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakuu, nimechaguliwa advance kwa mchepuo wa HKL ila sijaipenda coz O-Level nili concentrate mostly kwenye science na infact nina credit kwenye masomo yote katika mchepuo wa CBG...
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Wakuu nina ndugu amesoma dioloma ya Early childhood education kafanya zake kazi sasa anataka asome degree,nauliza hv kwa Tz hapa chuo gani kinatoa bachelor degree ya early childhood au degree...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni chuo gan bongo kiko vizuri kwa sheria???
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini Wakuu! Naomba@Maxence Mello , @TheInvisible @Content Moderator. Please Msiunganishe Wala Kuufuta Huu Uzi! Nimepata Wazo Jinsi Hali Ya Sasa Mfukoni Sio Nzuri, Hivyo Kupanga Itakuwa...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Mwenye taarifa ya uwezekano huo anisaidie process inakuwaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Marafiki habari. Nina mdogo wangu kapata chuo Uingereza na scholarship amepewa kama 40% hivyo tunatakiwa kuongezea kama 26million Tshs. Na bado gharama zingine ndogondogo akiwa kule ni juu yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
F5 posts 2019 from tamisemi 1st selection 113825-108644 = 5181 baki 2nd selection 5181-1861 = 3320 FURSA ZA SHULE BINAFSI NI WATU 3320+++ wasiotaka shule za serikali Hatua ni kuongeza shule za...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Wanajamii ndugu yangu amechaguliwa chuo cha Tarime Teachers Collage Astashahada elimu ya awali sasa nilikuwa nauliza mwisho wa kuhakiki na vp kuhusu ada serikali kuna kaunafuu kanawapatia au ndo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuoni wanajihakiki au vp,,,,,na kama ndiyo wanajihakiki vp ma mwisho ln?
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Wanajamii hv ukitoa kuwa afisa maendeleo ni kazi nyingine inatokana na hii kozi na vp private. Na ukifanikiwa kumaliza diploma vp unaweza kujiunga na degree ya sheria
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sorry naomba kueleweshwa kidogo juu ya suala la ku-apply mkopo, swali langu liko kwa upande wa wale ambayo wanahitimu diploma mwaka huu je wanafanya kufanya loan application kabla matokeo yao ya...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Ili moto uwake lazima kuwepo na walau vitu vifuatavyo hewa, joto na fueli. Ikumbukwe kwamba fueli ni maada yoyote inayoweza kusapoti moto kuwaka kwa mfano karatasi kuni mkaa ama mafuta Aidha moto...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani jamanii msaada naomba mniangalizie matokeo ya kidato cha nne namba ya shule S.5019 na wengine ulizeni kwenye hii thread wapo wataalamu watatupa majibu. ======== Karibuni tushauriane...
0 Reactions
809 Replies
108K Views
Habari ya majukumu great thinkers. Pass marks zangu ni biology C. chemistry C. Phy F. MATH F. HISTORY D. NA MASOMO MENGINE NINA C FLAT. JE NAWEZA OMBA KADA GANI YA AFYA KWA PASSMARKS HIZO...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…