Marafiki hebu njoo ni Tusemezane.

alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
2,366
3,109
Marafiki habari.
Nina mdogo wangu kapata chuo Uingereza na scholarship amepewa kama 40% hivyo tunatakiwa kuongezea kama 26million Tshs. Na bado gharama zingine ndogondogo akiwa kule ni juu yetu. Sasa wadau mdogo wangu anasema yeye anahitaji kwenda na anasema atafanya vibarua kule kufinance baadhi ya gharama akiwa kule. Naombeni kwa mliowahi kukutana na hali kama hii na mkaweza kwenda je mkifanikiwa kiasi gani kufanikisha malengo ya masomo. Msaada please....
 
Nasikia sasa hivi sheria zimebadilika sana, mwanafunzi anatakiwa asome tu, kama vibarua viko very limited, na kama unavyojua wenzetu wana good trucking system, kama ni kweli atasumbuka sana kujitafutia mlo.
 
Asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom