Je naweza kusoma kozi gani ya afya

Je naweza kusoma kozi gani ya afya

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
14,481
Reaction score
32,742
Habari ya majukumu great thinkers.
Pass marks zangu ni biology C. chemistry C. Phy F. MATH F. HISTORY D. NA MASOMO MENGINE NINA C FLAT.

JE NAWEZA OMBA KADA GANI YA AFYA KWA PASSMARKS HIZO
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mwaka jana walikua selected moja kwa moja vyuoni bila kuapply, vp mwaka huu hawajafanya hvyo?
 
Physics imekuangusha sana Mkuu. heri ungekuwa na pass ya Math inge compensate.
Hapo jaribu community health au Records.
Vinginevyo unge reseat physics na maths, hasa physics ungepata course nyingi nzuri zaidi ki market.
 
Basic Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including D passes in Chemistry and Biolog

Ordinary Diploma in Health Record Management
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" pass in English and Mathematics.

Technician Certificate in Nursing and Midwifery
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects including two (2) credit "C" Passes in any of Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences provided one is not less than Pass "D", a Pass in English Language and Basic Mathematics is an added advantage.
 
Asante mkuu
 
Physics imekuangusha sana Mkuu. heri ungekuwa na pass ya Math inge compensate.
Hapo jaribu community health au Records.
Vinginevyo unge reseat physics na maths, hasa physics ungepata course nyingi nzuri zaidi ki market.
Sasa nilimaliza 2015. Nikasoma community health mwaka mmoja na ninaona Hamna uelekeo. Nataka kurudi shule once again
 
Diploma in phamaceutical
Habari ya majukumu great thinkers.
Pass marks zangu ni biology C. chemistry C. Phy F. MATH F. HISTORY D. NA MASOMO MENGINE NINA C FLAT.

JE NAWEZA OMBA KADA GANI YA AFYA KWA PASSMARKS HIZO
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mwaka huu community health hawatadahili
Itamfaa phamaceutical masna maths na English ni added advantage tuu kufaulu
Physics imekuangusha sana Mkuu. heri ungekuwa na pass ya Math inge compensate.
Hapo jaribu community health au Records.
Vinginevyo unge reseat physics na maths, hasa physics ungepata course nyingi nzuri zaidi ki market.
 
Afu mbona watu wa 2015 hamjaisha tuu SI wizara ya afya walisjiri Sana
Health assistant
Na
Medical attendant n.k
Au ulizembea kuomba
 
Physics imekuangusha sana Mkuu. heri ungekuwa na pass ya Math inge compensate.
Hapo jaribu community health au Records.
Vinginevyo unge reseat physics na maths, hasa physics ungepata course nyingi nzuri zaidi ki market.
Admission za community health zimesimamishwa
 
Back
Top Bottom