Private shools in Dar es Salaam

Private shools in Dar es Salaam

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
66
Reaction score
36
Habari za asubuhi wakuu, nimechaguliwa advance kwa mchepuo wa HKL ila sijaipenda coz O-Level nili concentrate mostly kwenye science na infact nina credit kwenye masomo yote katika mchepuo wa CBG, so nlikuwa nahitaji msaada wa namna ninavoweza kuomba shule ya advance private/gov mkoa wa Dar, ikiwezekana na ada za shule hizo . Shukran
 
nitafute
shule ipo utasoma tu
una div ngapi?
 
Kinachoshangaza shule za advance ada zinakimbilia hadi million 5 ..ni upotevu wa pesa na muda

Kwa nini usiende chuo ukaanza ngazi ya chini ndani ya miaka mitatu uko mbali kidogo
 
Back
Top Bottom