Chuo gani kinatoa degree ya Early childhood

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,420
2,000
Wakuu nina ndugu amesoma dioloma ya Early childhood education kafanya zake kazi sasa anataka asome degree,nauliza hv kwa Tz hapa chuo gani kinatoa bachelor degree ya early childhood au degree yoyote inayoshabihiana?
Wenu katika ujenzi wa taifa
Ushirombo,jf member since 2013
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,866

kalale bwana!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,866
2,000
Tulia mwanangu, usiku sikupata dinner so naumia njaa ile mbaya,nimejaribu kukaanga mayai na gesi imekata
pole kijana wangu. Mimi naandika thesis , naenda kulala.
anyway, jaribu kuangalia kwenye TCU guidebook kama kuna kozi hiyo! au NACTE guidebook
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,866
2,000
Wakuu nina ndugu amesoma dioloma ya Early childhood education kafanya zake kazi sasa anataka asome degree,nauliza hv kwa Tz hapa chuo gani kinatoa bachelor degree ya early childhood au degree yoyote inayoshabihiana?
Wenu katika ujenzi wa taifa
Ushirombo,jf member since 2013

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL OF EDUCATION (SOED)Programme Details
Bachelor Of Education In Early Childhood Education

Programme Type : Undergraduate Programme Duration : 3 Years

Field of Study : Education Academic Unit : University of Dar es Salaam School of Education

Requirements
Direct Entry: Two or more principal level passes in two teaching subjects. Equivalent Entry: An appropriate equivalent Diploma in Education with an overall grade of ‘B+’ or possession of an Adult Education Diploma from the Institute of Adult Education, Dar es Salaam or Agency for the Development of Educational Management (ADEM) Institute, Bagamoyo with passes at an overall grade of ‘B+’ or better. Passes in Teaching Methodology courses will not be considered
 
Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,420
2,000
pole kijana wangu. Mimi naandika thesis , naenda kulala.
anyway, jaribu kuangalia kwenye TCU guidebook kama kuna kozi hiyo! au NACTE guidebook
Sasa boy si tukeshe wote tu, saiv 4am tumalizie tu huu mkia
 
Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,420
2,000
Asante sana
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL OF EDUCATION (SOED)Programme Details
Bachelor Of Education In Early Childhood Education

Programme Type : Undergraduate Programme Duration : 3 Years

Field of Study : Education Academic Unit : University of Dar es Salaam School of Education

Requirements
Direct Entry: Two or more principal level passes in two teaching subjects. Equivalent Entry: An appropriate equivalent Diploma in Education with an overall grade of ‘B+’ or possession of an Adult Education Diploma from the Institute of Adult Education, Dar es Salaam or Agency for the Development of Educational Management (ADEM) Institute, Bagamoyo with passes at an overall grade of ‘B+’ or better. Passes in Teaching Methodology courses will not be considered
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom