ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Sorry naomba kueleweshwa kidogo juu ya suala la ku-apply mkopo, swali langu liko kwa upande wa wale ambayo wanahitimu diploma mwaka huu je wanafanya kufanya loan application kabla matokeo yao ya diploma hayajatoka? Kwa yeyote anayejua msaada p'se