Kidato cha 5 wapangiwa. Waliobaki je?

Kidato cha 5 wapangiwa. Waliobaki je?

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
604
Reaction score
287
F5 posts 2019 from tamisemi

1st selection 113825-108644 = 5181 baki
2nd selection 5181-1861 = 3320
FURSA ZA SHULE BINAFSI NI WATU 3320+++ wasiotaka shule za serikali



Hatua ni kuongeza shule za A'level
Tulifanyie kazi

FURSA KWA GOVT SCHOOL
BUT
WANAOFAULU F4 ni wachache
360510 -113825 (dv I, II na III)= 146,685 (div IV na 0)
Wanao baki mtaani ni zaidi ua nusu
WALIOBAKI MTAANI JE WAENDE WAPI
KUMBUKA: kidato cha 4 Walifaulu.

tafakari.chukua hatua

FIKRA ZETU ZIZAE KITU HALISI

*Change is You. Not Others*
 
nimegundua watu waogopa hesabu
wanapenda story
sio kufikiri kwa undani zaidi"deep tinking"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom