Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,768
- 21,871
Baada ya uzi wa Mk54 kuhusu value retention fee ya 6% pamoja na mambo mengine, hatimaye bodi wametoa ufafanuzi sahihi wa jinsi makato yanavyokuwa.
VRF inakatwa kila mwaka kutoka kwenye oustanding balance na sio kwenye principal balance.
Grace period iliongezwa kutoka miezi 12 mpaka miezi 24.
Kitu ambacho sijakielewa bado ni pale waliposema hii 6% ipo ndani ya ile 15%. Swali ni jee, ina maana VRF wanakata kila mwezi?