R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,371 73,965 Jun 7, 2019 #1 Mwenye taarifa ya uwezekano huo anisaidie process inakuwaje
feyzal JF-Expert Member Apr 20, 2016 6,800 12,612 Jun 7, 2019 #2 Retired said: Mwenye taarifa ya uwezekano huo anisaidie process inakuwaje Click to expand... Inawezekana fuata utaratibu tu
Retired said: Mwenye taarifa ya uwezekano huo anisaidie process inakuwaje Click to expand... Inawezekana fuata utaratibu tu
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,371 73,965 Jun 7, 2019 Thread starter #3 feyzal said: Inawezekana fuata utaratibu tu Click to expand... Ndio huo ninaouomba kutoka kwa wadau
feyzal JF-Expert Member Apr 20, 2016 6,800 12,612 Jun 7, 2019 #4 Anza kwenda chuo unachotaka kuhamia kuomba nafasi wakisha kwambia ipo watakupa barua na watakuelekeza utaratibu mwingine
Anza kwenda chuo unachotaka kuhamia kuomba nafasi wakisha kwambia ipo watakupa barua na watakuelekeza utaratibu mwingine