Uzi Maalumu Kwa Wanaomba Kubebana Chuo ( A Special Thread For Requesting Double Sharing Amongst University Students)

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,378
2,000
Habarini Wakuu!

Naomba@Maxence Mello , @TheInvisible
@Content Moderator.

Please Msiunganishe Wala Kuufuta Huu Uzi!

Nimepata Wazo Jinsi Hali Ya Sasa Mfukoni Sio Nzuri, Hivyo Kupanga Itakuwa Ni Changamoto Kwa Vijana Wengi Wa Vyuoni,
Nimeleta Huu Uzi Kuwasaidia Vijana Makini Walio Humu Kufaidika Na Hii Fursa Adhimu Sana, Yaani Kubebana.

Ikubumbukwe Ni Kitu Cha Kawaida Sana, Kwani Hata Jiwe Alinukuliwa Mahali Kwamba Naye Alibebwa Na Kuwasihi Vijana Wafanye Hivyo Japo Wakikamatwa Hausiki, Hii Ilikuwa Katika Hafla Ya Kuzindua Hostel Mpya Za Udsm.

Karibuni Wanavyuo Wote Humu, Pia First Year Msiwe Wabinafsi Kushare Room Mkifika Second Year Mtazoea Na Mtaona Mlikuwa Wajinga, Sawa Mtatishwa Sana Na Uongozi Wa Chuo Ila Hiki Kitu Hakikwepeki, Hata Maxence Mello Analelewa.

Onyo!
Huruhusiwi Kwa Namna Yeyote Ile Kuweka Namba Ya Simu Au Link Ya WhatsApp Hapa Kufanya Hivyo Kutaleta Shida Na Kupoteza Lengo La Huu Uzi, Mmalizane PM Huko, Hapa Unasema Upo Chuo Ghani Na Kama Upo Tayari Kushare Ili Mtu Akufuate PM ( Private Message).

Karibuni Sana Na Ahsanteni.
 

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
1,702
2,000
Karibu Mkuu!

Udsm Bata Kama Zote, Kidogo Mcity Hiyo, Bullspark, 5N Club, Katalunya, La Chaaz Etc.

Inabidi Ubalance Sio Msongo Mwanzo Mwisho, Na Ukiwa Mario Ndio Disco Inakuita Mkuu.

I am going UDSM to change My life and those who looks me as their hope. If i start to waste my time and energy to useless things i must suffer the dire consequences.
 

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,378
2,000
I am going UDSM to change My life and those who looks me as their hope. If i start to waste my time and energy to useless things i must suffer the dire consequences.
You're Utterly Correct If You Stand Rigid To What You Have Just Proclaimed Here, That Show How Prescient You're.

Keep The Spirit And Chase Your Prerequisites Relentlessly.
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,385
2,000
Kwa iyoo mumesahau fain ya laki moja waliyopigwa magufuli hostel, mpaka sasa waliohusika wanahaha matokeo hawayaon, walizan utan ,chuo hakina masiala, daaa, kubebana mabibo ila maguful wakilianzisha hawafai
 

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
1,702
2,000
You're Utterly Correct If You Stand Rigid To What You Have Just Proclaimed Here, That Show How Prescient You're. Relentlessly.

Thank you very much.


My birthplace is a vineyard where there is fruits for all.

Keep The Spirit And Chase Your Prerequisites
 

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,378
2,000
Kwa iyoo mumesahau fain ya laki moja waliyopigwa magufuli hostel, mpaka sasa waliohusika wanahaha matokeo hawayaon, walizan utan ,chuo hakina masiala, daaa, kubebana mabibo ila maguful wakilianzisha hawafai
Kuna Mdau Alipangwa Mabibo Akafanya Makeke Akabebwa Hapo Magu Mpaka Ameondoka Hajakutwa Na Chochote.

Kilichotokea Ni Vurugu Pamoja Na Uharibifu Wa Mali Za Canteen Ya Magu Ambapo Wadau Walivunja Fridge Wakaiba Soda, Maji, Wakaenda Kuiba Vibua Wabichi Waliohifadhiwa Kwenye Jiko, Walipasua Taa, Na Vingine Vingi. Kwa Kweli Nilifaidi Soda. Ni Katika Pirika Pirika Zangu Nilishuhudia Hili Tukio Majira Ya Saa Sita Usiku Baada Ya Msako Wa Kushtukiza Ili Kubaini Wabebaji, Aisee Warden Walichezea Kipigo Cha Mbwa Mwitu Mpaka Akchaniwa Nguo, Mbali Na Kugaragazwa Kwenye Matope Kama Nguruwe Yatima, Niliambulia Kumpa Makofi Ya Uso Mawili Na Kwenzi Moja Juu Yule Warden Mnoko.

Wanachuo Tulionesha Umoja Sana Hawatarudia Kukagua Mabweni Tena.

Ikaamriwa Kila Mwana Magu Alipe Fine Ya Elfu Kumi Kwaajili Ya Uharibifu Na Pia Hawatapangiwa Room Tena Maisha Yao Yote Pale Chuo.
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,385
2,000
Kuna Mdau Alipangwa Mabibo Akafanya Makeke Akabebwa Hapo Magu Mpaka Ameondoka Hajalikutwa Na Chochote.

Kilichotokea Ni Vurugu Pamoja Na Uharibifu Wa Mali Za Canteen Ya Magu Ambapo Wadau Wavunja Fridge Wakaiba Soda, Maji, Wakaenda Kuiba Vibua Wabichi Waliohifadhiwa Kwenye Jiko, Walipasua Taa, Na Vingine Vingi. Kwa Kweli Nilifaidi Soda. Ni Katika Pirika Pirika Zangu Nilishuhudia Hili Tukio Majira Ya Saa Sita Usiku Baada Ya Msako Wa Kushtukiza Ili Kubaini Wabebaji, Aisee Warden Walichezea Kipigo Cha Mbwa Mwitu Mpaka Akchaniwa Nguo, Mbali Na Kugaragazwa Kwenye Matope Kama Nguruwe Yatima, Niliambulia Kumpa Makofi Ya Uso Mawili Na Kwenzi Moja Juu Yule Warden Mnoko.

Wanachuo Tulionesha Umoja Sana Hawatarudia Kukagua Mabweni Tena.
Aris yako n nzima kwel? Hahaaaaaa hamtapangiwa hostel nyie watu
 

Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,682
2,000
Karibu Mkuu!

Udsm Bata Kama Zote, Kidogo Mcity Hiyo, Bullspark, 5N Club, Katalunya, La Chaaz Etc.

Inabidi Ubalance Sio Msongo Mwanzo Mwisho, Na Ukiwa Mario Ndio Disco Inakuita Mkuu.

Catalunya panafanyiwa matengenezo (ukatili ulioje huu) replace hiyo makitu na the Calabash...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom