Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa. Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer. Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu ee Nina xhida na softcopy ya vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL science na undestanding in biology
1 Reactions
5 Replies
343 Views
Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu...
0 Reactions
18 Replies
997 Views
Wakuu ee naombeni mnitumie vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL SCIENCE AND UNDESTANDING IN BIOLOGY
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Wakuu ee naombeni mnitumie vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL SCIENCE AND UNDESTANDING IN BIOLOGY
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Ndugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary...
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Ujuzi au skills acquisition ni muhimu kuliko degree zisio kua na practicle skills, Kaka angu nae mfuata ameangaika na vyeti vyake kufanya accreditation ili aondoke navyo ughaibuni apate ajira...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Hivi mtu aliye soma microbiology and biotechnology anaweza kufanya Kaz sehem gan
3 Reactions
5 Replies
457 Views
Habari ya Leo wana jamii forums wenzangu, Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TCU dar es salaam. Asante
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Mdogo wangu amepoteza cheti chake cha kidato cha nne, na kwa sasa tumepoteza matumaini ya kukipata tena. Naomba kuuliza, je, kuna utaratibu wowote wa upyaishaji wa cheti (renew)...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Wakuu hali ni mbaya sana,mimi na kaka yangu mkubwa tulihitimu kidato cha nne katika shule za kata miaka 5 iliyopita,mimi nilifaulu kwa ufaulu wa division 2 of 19 kaka yangu alifaulu kwa dvs 3 of...
12 Reactions
60 Replies
2K Views
Anyone with idea Hivi control number za Heslb zinaexpire
0 Reactions
5 Replies
565 Views
Jamani naomba msaada kwa anaye elewa, napataje reference numba ya physical adress kwaajili ya kujaza olams heslb
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia...
1 Reactions
3 Replies
410 Views
Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya...
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
0 Reactions
2 Replies
464 Views
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi. Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo.. Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom