Naombeni mnishauri kwa hili

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihani wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira.

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu.
 
Hapo kwanza inabidi form 4 tujue ulimaliza mwaka gani.
Pili tujue ulipataje Ili tujue kipi kimesalia. Maana kama ulimaliza mdah mrefu sana itakuchukua ugumu kwenye masomo pili kama Cheti chako Cha form 4 alama ulizopata mwanzo je umepungukiwa kipi hili uwe na vigezo vya kusoma nursing mana tukipiga maesabu ya alaka alaka adi unakuja kumaliza nursing na kufanya hyo Pepa ya kidato Cha nne almost miaka 5 plus na huu imeshaisha ni miaka 6 + umri wako wa 36 ni 42 na vigezo vya kuajiriwa serikalini kiumri ni miaka 45 .
Na msoto wa kusubiri hizo ajira bado atuujumlishi japo wanaangalia waliomaliza nyuma ila kuna bahati pia unaweza ukamaliza na ukapata ajira.
Yote kwa yote inawezekana ni uteyari wako tu
 
Form 4 nimemaliza mwaka 2004..nikarisit mwaka 2013 nikapata d chemistry na english kwa upande wa science
 
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihan wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira. Nilimaliza form 4 mwaka 2004

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu
 
Yes kabisa elimu Haina mwisho. Mimi nilisoma sec na Mzee wa miaka 65.
Kwa hiyo kwanza hongera Kwa kuwaza hivyo go and do it.
 
Hiyo kazi utapewa na nani...? Hivi hujui kuwa hii nchi yetu mpaka mtu anapata kazi Kuna kazi kubwa sana nyuma yake ameifanya...kama huna unaemjua mwenye cheo kikubwa Kwa sekta unayo hitaji...haki vile kutoboa ni ngumu sana
 
Entry Qualification for Certificate and Diploma in Nursing and midwifery.

Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least four (4) passes in non-religious subjects including Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage.
Je wewe umepungukiwa D ya Nini hapa?
 
Soma ndugu.. sikukatishi tamaa hata kidogo yaani soma soma soma. Mimi niliomba ushauri humu 2019 kuanza kusoma kwa kufanya mitihani ya QT nilikatishwa tamaa na wengine walinipa moyo kwani kila mtu na mapokeo yake, nashukuru nilifanikiwa kufanya mtihani wa QT,kidato cha nne na nimemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na nimefaulu vizuri tu.. na nimesoma nikiwa nanyonyesha watoto mapacha huku wakiwa na kaka yao waliyepishana miaka miwili na sasa nimemaliza mapacha wana miaka mi5, kusoma ni jitihada kubwa sana ifanyike . Nenda kasome .

Kuhusu ajira ni kama bahati unaweza pata au usipate ila kasome. Bora usome hujui kesho inakuja vipi.

Nakutia moyo utaweza.
 
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihan wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira. Nilimaliza form 4 mwaka 2004

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu
Ulisharudiana na Mumeo?
 
Nin

Entry Qualification for Certificate and Diploma in Nursing and midwifery.

Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least four (4) passes in non-religious subjects including Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage.
Je wewe umepungukiwa D ya Nini hapa?
nina 2 tu, chemistry na english
 
Back
Top Bottom