Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

🎓 Career Mastery Hub – Your Trusted Partner for Global Success At Career Mastery Hub, we do more than just handle paperwork. We provide expert career counseling and foreign admissions guidance...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi. hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Tunapojadili kuhusu kushuka kwa elimu yetu na kupungua kwa ubora wa wahitimu tusisahau kuangazia vinu vinavyozalisha wasomi hao. Juzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni mhadhiri katika Chuo...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za: 1. BAOBAB 2. MARIAN 3. HAMES Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa...
3 Reactions
27 Replies
16K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma...
1 Reactions
8 Replies
563 Views
Habarini. Kwa mwenye uzoefu wa vyuo vikuu vya nje ya nchi vyenye hadhi, vinavyotoa kozi mbalimbali online, naomba anisaidie majina ili niweze kuvifatilia
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini viwango vimetofautiana kwa kozi Kuna kozi kama Bima, Environment, Philosophy, siasa, Business administration, n.k. Ni ngumu kujiajiri na ni nadra kusikia...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Anonymous
Uongozi wa Taasisi ya Teknologia ya Dar Es Salaam ( DIT ) wazuia wanafunzi kugenerate control number kwa kuufungia mfumo na kuwaambia waandike barua waje kufanya special kinyume na utaratibu.
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Jamani nimemaliza Form six comb CBG courses nzuri na marketable zaidi naweza kuxoma na chuo kipi?
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Habarini, nahitaji kuomba MasterCard foundation scholarship katika chuo cha western cape kilichopo south Africa, kama kuna mtu anakifahamu hicho naomba anisaidie kunipa experience kidogo.
0 Reactions
0 Replies
176 Views
1. Have a Clear Research Question Know your thesis topic and specific research questions. This helps filter relevant articles and avoid information overload. 2. Skim Before You Dive Deep Start by...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Petroleum petroleum namba wanaisoma! Watu wana masters zao namba wanaisoma, watu wana PHD zao namba wanaisoma. Namba shufwa wanazisoma, namba witiri namba tasa. Watu wana mauzoefu yao namba...
29 Reactions
101 Replies
18K Views
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa. Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba ushauri hivi kati ya Mining Engineer na Mineral Processing Engineer ipi ni nzuri kwa soko la ajira nimepangiwa DIT mining engineer. Nataka kubadili ndiyo maana nauliza kwanza wakuu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu ee Nina xhida na softcopy ya vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL science na undestanding in biology
1 Reactions
5 Replies
343 Views
Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu...
0 Reactions
18 Replies
997 Views
Wakuu ee naombeni mnitumie vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL SCIENCE AND UNDESTANDING IN BIOLOGY
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Wakuu ee naombeni mnitumie vitab vya biology ambavy ni BIOLOGICAL SCIENCE AND UNDESTANDING IN BIOLOGY
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Ndugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary...
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Back
Top Bottom