Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Good day good citizens... Albert Einstein alisema na'quote "Pure mathematics is, in its way, the poetry of logical ideas." — Albert Einstein, German theoretical physicist Leo tucheki hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni kusaidiwa mawasiliano ya chuo cha Afya cha LUGALO Namba ya simu inayopatikana pamoja na email yao Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
shule nzuri kwa kurudia mtihani wa kidato cha nne yaani QT ni ipi? hususani maeneo ya mwanza, dar es salaam
0 Reactions
10 Replies
11K Views
guest-1793102819
Kwa mliopo idara ya elimu naomba kuuliza mtihani wa taifa wa darasa la saba kwa shule za international ni bure au unalipiwa!! Maana kuna shule ipo wilaya ya Chalinze maeneo ya Masuguru njia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau... Mwenye syllabus ya advance physics naomba anisaidiee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti samahani wadau, mtu akipata 4 ya 26 katika ya Civics - C, History - D, Kiswahili - C, Bios - D, English - C na Geography D, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nini? Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu kuna mwanangu mmoja amepata gpa ya 2.9 ya clinical medicine amechanganyikiwa na ameshalia sana ushauri wenu jaman spate mwanga ajue cha kufanya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
74 Replies
13K Views
Hivi kati ya Chuo cha Tumaini na Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wapi wapo vizuri kwenye kada ya Sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE? Naomba ufafanuzi.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamii, Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake. Matokeo ni...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula. Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni kwamba nilimaliza chuo kikuu 2014 ila sijapata kazi ya kueleweka hadi sasa hivi na nilipata mkopo kwa muda ule, nmefikiria kusoma chuo coz...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nilimaliza mitihani ya CPA mwaka jana may. sijachukua cheti hadi sasa, je kuna malipo yapi natakiwa kulipia na lini
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dears; Students taking a course in Soil Mechanics: Here is a final version of your copy, two copies. 1 The printable version is most appropriate for reading in hard copies and the other, in soft...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ili suala la baadhi ya vyuo kutosajiliwa na bado vinadahili wanafunzi limekaaje? Na je wanafunzi au mwanafunzi aliyesoma chuo kama hiki anasaidiwaje na serikali hali wakati anajiinga hakuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba msaada wa shule zilizo bora kidato cha 5 ambazo ada yake iwe kuanzia 1M na isizidi 3.8M kuna mdogo wangu wa kike ana division two point 20 sema atapata...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wana JF, Naomba mnisaidie katika chaguzi ya izi kozi mbili nahitaji nikasomee moja CBE ngazi ya cheti ipi bora na nzuri katika soko la ajira? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Kwa anayeijua vizuri kozi ya Auto Electric and Electronics Engineering katika soko la ajira iwe kujiajiri au kuajiriwa ni ile inayotolewa katika chuo cha ATC ukilinganishwa na Mechatronics, asante
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ni majonzi na masikitiko makubwa kwa wazazi/walezi wilayani Tunduru baada ya watoto wetu kufutiwa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba kwa sababu ya kile kinachosemekana kubainika kwa udanganyifu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom