Je, mitihani ya darasa la saba kwa internatinal schools inalipiwa?

Sungura dume

JF-Expert Member
Mar 28, 2016
562
502
Kwa mliopo idara ya elimu naomba kuuliza mtihani wa taifa wa darasa la saba kwa shule za international ni bure au unalipiwa!! Maana kuna shule ipo wilaya ya Chalinze maeneo ya Masuguru njia ya Msata - Bagamoyo inaitwa must lead pre and primary school imeweka kiwango cha ada ya mtihani wa taifa wa darasa la Saba mwaka huu kila mwanafunzi ni lazima atoe laki moja kama ada ya mtihani wa taifa je hili lipo sawa kwa shule zote za private!!

Msaada kwa mwenye uelewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua international schools halisi kumbe private we lipa tu.
 
International schools hawana mtihani wa darasa la saba maana wanatumia mitaala ya kimataifa
Kwa mliopo idara ya elimu naomba kuuliza mtihani wa taifa wa darasa la saba kwa shule za international ni bure au unalipiwa!! Maana kuna shule ipo wilaya ya Chalinze maeneo ya Masuguru njia ya Msata - Bagamoyo inaitwa must lead pre and primary school imeweka kiwango cha ada ya mtihani wa taifa wa darasa la Saba mwaka huu kila mwanafunzi ni lazima atoe laki moja kama ada ya mtihani wa taifa je hili lipo sawa kwa shule zote za private!!

Msaada kwa mwenye uelewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom