Nilimaliza chuo kikuu, nikiomba mkopo ntapata?

jojoe35

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
262
378
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni kwamba nilimaliza chuo kikuu 2014 ila sijapata kazi ya kueleweka hadi sasa hivi na nilipata mkopo kwa muda ule, nmefikiria kusoma chuo coz nyingine iliyo ktk market kwa sasa, je nikiomba mkopo tena ntapata?

Nawasilisha wakuu
 
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavoeleza, nikwamba nilimalza chuo kikuu 2014 ila cjapata kaz yakueleweka ad saiv na nilipata mkopo kwa mda ule, nmefikiria kusoma chuo coz nyingine iliyo ktk market kwa ss, je nikiomba mkopo tena tapata?

Nawasilisha wakuu
Una division one au two? Unataka kusoma course gani?1
 
Omba ualimu wa sayansi wwe mbona mnambwela kupata ajira?
Jaman ualimu sio hard but reliable too!!
 
Utatakiwa ulipe 25% ya Deni. Ndio watakufikiria
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni kwamba nilimaliza chuo kikuu 2014 ila sijapata kazi ya kueleweka hadi sasa hivi na nilipata mkopo kwa muda ule, nmefikiria kusoma chuo coz nyingine iliyo ktk market kwa sasa, je nikiomba mkopo tena ntapata?

Nawasilisha wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom