Naomba ushauri nisome Kozi ipi kati ya Business Administration na Marketing?

Kila moja ina mazuri yake, fuata ndoto zako mkuu. Hivi admission ya ngazi za cheti zimeanza? Navyojua sasa hivi admission deadline za masters kwa baadhi ya vyuo, na vyuo vingi gazi za cheti wanafanya 2nd sem.
 
Mm naona ngazi ya cheti na diploma bora usome walau procurement au account kwa maana izo ndo utaziapply ata katika ajira za awali but B.A mara nyingi masters yake ndo mzuka kwa maana MBA anakuwa boss na kumanage mambo since iyo course imebase katika utawala but kwa cheti huwezi kupewa taasisi kuitawala piga ata sales and market then degree unabadili dogo.
 
Ukisoma Finance unaishia kuja kuwa mhasibu.. Ukisoma business admin unaishia kuja kuwa marketer.. Kwenye makampuni biz admin na finance hazina vitengo so sio kozi muafaka kusoma kwa hapa Bongo!
 
Back
Top Bottom