Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 881
- 303
Habari wadau...
Mwenye syllabus ya advance physics naomba anisaidiee
Mwenye syllabus ya advance physics naomba anisaidiee
Bado mnakazana na advance tu, kwanini usipitie college ndugu yangu, elimu ya bongo bila mahesabu utapoteza ndoto zako. Utakuta eti kijana ana div 2 ya 18, naye anasema mimi naenda kusoma PCB nataka kuwa doctor. Udoctor Kizembezembe tu, ila ukiwa smart kichwani unaweza. Pitia njia ya diploma maliza, mchezo, nina hakika kupata hiyo div 2 tiari umejitoa kwenye ushindani kama ukipitia njia ya AdvanceHabari wadau...
Mwenye syllabus ya advance physics naomba anisaidiee
Division 1 ya 18???????????Bado mnakazana na advance tu, kwanini usipitie college ndugu yangu, elimu ya bongo bila mahesabu utapoteza ndoto zako. Utakuta eti kijana ana div 1 ya 18, naye anasema mimi naenda kusoma PCB nataka kuwa doctor. Udoctor Kizembezembe tu, ila ukiwa smart kichwani unaweza pitia njia ya diploma maliza, mchezo, nina hakika kupata hiyo div 2 tiari umejitoa kwenye ushindani kama ukipitia njia ya Advance
Angalia vizuri, pale juu.Division 1 ya 18???????????
FORM V TOPICSHabari wadau...
Mwenye syllabus ya advance physics naomba anisaidiee
Baada ya ku edit??Kwahiyo huyo niliye m quote siyo wewe uliyeandika hivyo unajikataa...si ndiyo????Angalia vizuri, pale juu.