Shule nzuri ya kurudia mtihani wa kidato cha nne Mwanza

QT Jay

Member
Jan 25, 2017
49
25
shule nzuri kwa kurudia mtihani wa kidato cha nne yaani QT ni ipi? hususani maeneo ya mwanza, dar es salaam
 
Habari.Naomba msaada wakutajiwa vituo vya kufanyia mtihani wa kujipima ya weekend mwanza hususani wa hesabu mwanza huku mi mgeni vituo sivijui
 
Naomba msaada nilimaliza kidato Cha nne 2017na sikufanya vizuri lakini 2018nikarisiti lakini sijafanya vizuri naomba ushaurii nifanye nini
 
Back
Top Bottom