Kwa wale tuliobahatika kusoma hebu weka Definition moja unayoikumbuka iwe ya Form 1, 2, 3 or 4.
Mim naanza na
Microscope - is an instrument used to magnifying small objects.
Ndugu zangu habari za mida.
Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima hasa ukizingatia janga hili lililoikuta dunia.
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo...
Habari,
Poleni wakuu na hili janga.
Hivi hizi shule zetu na vyuo watafungua kweli baada hizi siku 30 kuisha.
Na wasipofungua itakuaje mbona system za shule zinabadilika sana.
Sent using Jamii...
Salaam kwenu wanajukwaa ,amani ya mungu wangu iwe nanyi
Leo napenda kuiliza juu ya uwepo wa kozi fupi za IT hapa nchini mwetu
Je zipo!?
Gharama yake ?
Na ubora wake ni upii?
Je naweza kusoma...
Wakuu habarini za muda, naomba msaada kwa mtu ambae anamjua mwalimu au mtaalamu ambae anafundisha physics kwa program ya kutumia CD ikawa na uwezo wa kuangalia kwenye tv basi naomba anijulishe...
Wanajamvi Habari,
Naomba msaada kwa wenye uelewa wa elimu ya masters wanipe msaada wa mawazo kidogo.
Kitaaluma mimi ni mwalimu. Soon baada ya kuhitimu shahada yangu (program BED) mwaka huu...
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne ufaulu wake ni Division III 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C'
KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F'
Ni kozi ipi nzuri...
Salaam kwenu.
Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk.
Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo...
poleni na majukumu na harakati za kupambana na maisha. Nombeni notes za Chemistry advanced (five na six) soft copy. Au mwenye link au App ambapo naweza pata notes nzuri anijuze.
Natanguliza...
uniRank World Universities Rankings & Reviews
Top 200 Universities in Africa
2020 African University Ranking New
Rank University Country
1 University of Pretoria South...
NACTE wanafungua lini dirisha la intake ya October 2020. Kawaida March huwa i wakati dirisha la kuomba vyuo linafunguliwa. Leo ni April hamna hata dalili. Tuhabarishane mwenye fununu.
Sent using...
Kwa mujibu wa mfumo wa Elimu Tanzania Tuna darasa (STD) 1 hadi la7 kwa while za msingi
Halafu tuna
9 - Form one
10- Form Two
11- Form Three
12 Form Four
sasa swali ni je hill darasa la nane ni...
Wakuu,
Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata.
Asanteni.
Habari wananzuoni wa Taifa letu teule,
Naomba msaada wa kupata baadhi ya mitihani ya taifa kwa miaka iliyopita kwa shule za msingi kwa maana ya kuliandaa taifa letu na wasomi wa baadae
Nikipata...
Wakuu habari za jioni.
Naomba yeyote mwenye notes za somo la kiswahili kuanzia form 1 mpaka form 4.
Ziwe zimeandikwa vizuri na uchambuzi wa fasihi uwe umechambuliwa vizuri.
Nitapiga photocopy kwa...
Naomba mwenye notes nzuri za practical biology A LEVEL anisaidie, au tuongee biashara nazihitaji sana.
NB: Ziwe na practical zote za A-level kama vile dissection, food test, classification nk...