Habari zenu wana JF,
Nilikuwa naomba ushauri/msaada kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhilibwa masomo kwa ngazi ya Diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana...
Haya, Wakuu kozi za veta na ada zake, hizo hapo chini, tujadiliane hot cake course[emoji116]
Hiyo Aluminum ipoje? Na soko lake vipi
NB: mimi ni mdau wa elimu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza ku-apply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alichochaguliwa hawatamuuliza cheti.
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada...
Ndugu wana jf kuna ndugu yetu amehitimu kidato cha nne mwaka Jana alipata DIV III 25 katika masomo tisa ana C Tatu ambazo hizina combination yaani KISWAHILI CHEMISTRY NA ENGLISH ana D tano na F...
Kwa mdau yeyote anayejua Chuo hiki kina sifa zipi anisaidie kujua.
Nimepata habari kutoka kwa muhitimu wa chuo hicho ila amezungumza mengi yakiwa hasi,niliona huenda labda yeye ndiye alikuwa na...
Ndugu zangu nisaidie mtoto wa Sista amepata four ya 28 amesoma sayansi ni msichana ana d zaidi ya 4 na C moja ya kiswahili. Miongoni mwa D hizo zipo za Chem na Bios.
Je anaweza kusoma fani gani...
Kwa wale ambao wamesoma michepuo inayojumuisha hisabati (Advanced Mathematics) majina ya jamaa hawa si mageni katika uwanja huo.
Swali ni je nani kati ya hao wawili hapo juu yupo bora zaidi kwa...
Naamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa...
Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa...
Habari, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji wote tuliopitia TARIME SEC tukumbushane maisha ya pale, either ulipitia O level au hata A level.
Karibuni.
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata Hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa HGE iko sawa ila nikaona niwasilishe...
Habari wana jamii,
mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi?
Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
Kwa muda mrefu sana wanafunzi wanaosoma University of Dar es salaam (UDSM) wamekuwa wakiona chuo chao ni kama TOP in TZ.
Lakini mimi naomba tuangazie anga za uhandisi hasa hasa pekee, je UDSM wapo...
Kumekuwa na kasi ya ongezeko la uanzishwaji wa kozi mbalimbali katika vyuo vyetu Tanzania bila kuangalia ubora wa elimu kwa wanafunzi wanaomaliza (graduates) katika fani hizo, kuweza kushindana...
Habari za majukumu wakuu?
Kama mada inavyojieleza, naomba kujulishwa jinsi ya kuomba nafasi ya masomo Chuo cha Patandi ktk kozi ya elimu maalum pia kama kuna link naomba mnisaidie. Na Kama kuna...
Habari wana jukwaa,
Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa
Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019...