Kafaulu kidato cha nne but ni combless

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Ndugu wana jf kuna ndugu yetu amehitimu kidato cha nne mwaka Jana alipata DIV III 25 katika masomo tisa ana C Tatu ambazo hizina combination yaani KISWAHILI CHEMISTRY NA ENGLISH ana D tano na F moja ya PHYSICS anahitaji kwenda private ila anapenda asome CBG cdd au

EGM xdd naomba mwenye ufahamu juu ya usajili wa necta form six anijuze je atasajiliwa ili ajuae mapema
 
Alikuwa anasoma bila target? Watanzania wengi tuko hivyo tunasoma kwa kupapasa tu yaani yaani unaotea mwisho wa siku unapata kama haya, OK private school atapata lakini kama shule ni makini hawatakubali asome science ila HKL, HGL Atakubaliwa.
 
Alikuwa anasoma bila target? Watanzania wengi tuko hivyo tunasoma kwa kupapasa tu yaani yaani unaotea mwisho wa siku unapata kama haya, OK private school atapata lakini kama shule ni makini hawatakubali asome science ila HKL, HGL Atakubaliwa.
Yaaani ni kweli kabisa nilikuwa Nina mdogo wangu naye alipata matokeo kama ya huyo mdogo wa jamaa .

Alikuwa anasoma bila target wala malengo yoyote .

Ukimuuliza unataka kuwa nani anakwambia sijui.

Unapenda kusoma kombi gani .anakwambia siiui hahahahah

Basi ilikuwa shida tu

Matokeo yanatoka Ana C tatu na D sa kumwaga.

Sasa hizo C alipata kwenye kombia ambayo hana uwezo nayo .yaani mwenyewe anakiri kabisa hapa nimebahatisha

Ikabidi akasome hivyo hivyo advance .kilichomtoka form six anajua mwenyewe

Anyway achague kombi kulingana na uwezo wake
 
Si useme tu kwamba ni wewe!
Maana umewasubiri nacte mpaka umechoka sasa!
 
Hapo ajakiz vigezo vya flat c within combination
ajakizi=hajakidhi
Vile vile sina hakika kama ni lazima minimum iwe C flat, akiwa na C mbili na D moja anakwenda. Sina hakika kuhusu D mbili na C moja.
 
Nilivyoskia kuanzia mwaka huu ni must ccc na hakuna kursit somo moja kam una ccd
Kama vip aende ualimu km yuko interested
 
Kwa ninavyofahamu Mimi ni kwamba ili mtu aweze kusajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita lazma awe na c tatu na kuendelea ktk mchepuo wake ,,,,,,.,,, rejea waraka wa NECTA 2015/2016
 
Back
Top Bottom