Kwa anayejua yalipo maduka ya vitabu au maktaba vinakopatikana vitabu vya kutatua changamoto mbalimbali za maisha. Msaada tafadhali

Akili zangu hazipo sawa

Senior Member
Apr 23, 2020
160
118
Naamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa vitabu hivi.

Msaada wako tafadhali.
 
Mkuu unataka kutumia knowledge ya vitabu kuanza biashara au kuendeleza biashara?

Kila la kheri
 
HATUA YA KWANZA: Nunua ebook-reader. Kindle Papewhite au inayofanana nayo.

HATUA YA PILI: Pata vitabu vya kununua na vya bure. Vijaze kwenye ebook-reader yako.

Ni njia ya gharama nafuu zaidi na yenye manufaa.
 
Naamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa vitabu hivi.

Msaada wako tafadhali.
Kuna duka linaitwa Elite books Mbezi Beach. Kwa kuanzia wacheck instagram uwaulize utaratibu wao wa kutuma vitabu kwa mteja mkoani. Kama uko serious hauwezi kushindwa. Vizuri uwe na specific titles unapoulizia vitabu
 
HATUA YA KWANZA: Nunua ebook-reader. Kindle Papewhite au inayofanana nayo.

HATUA YA PILI: Pata vitabu vya kununua na vya bure. Vijaze kwenye ebook-reader yako.

Ni njia ya gharama nafuu zaidi na yenye manufaa.
Sijui kwanini naamini wasomaji nguli wa vitabu hawasomi soft books. Kama kweli kitabu flani kina thamani kwako kwanini usiwekeze kwa kukinunua (hard copy)?
 
Ni imani yako kama ulivyosema. Katiba ya jamhuri inailinda haki yako ya kuamini unavyopenda. Lakini naamini unajua kutofautisha imani na uhalisia. Sawa?

Sawa?
 
Ni imani tu, maana mimi pia soft copies zinanishinda, huenda najipa moyo tu kwa hiyo imani yangu ili ninunue vitabu. Huwa unasoma mwanzo mwisho na unarudia tena na tena vitabu vizuri kupitia soft copy?
 
Ni imani tu, maana mimi pia soft copies zinanishinda, huenda najipa moyo tu kwa hiyo imani yangu ili ninunue vitabu. Huwa unasoma mwanzo mwisho na unarudia tena na tena vitabu vizuri kupitia soft copy?

HATUA YA KWANZA: Nunua ebook-reader. Kindle Papewhite au inayofanana nayo.

HATUA YA PILI: Pata vitabu vya kununua na vya bure. Vijaze kwenye ebook-reader yako.

Ni njia ya gharama nafuu zaidi na yenye manufaa.

Angalia HATUA YA KWANZA iliyonukuliwa hapo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom