Hiki Chuo cha Paradigms kina sifa zipi?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kwa mdau yeyote anayejua Chuo hiki kina sifa zipi anisaidie kujua.

Nimepata habari kutoka kwa muhitimu wa chuo hicho ila amezungumza mengi yakiwa hasi,niliona huenda labda yeye ndiye alikuwa na matatizo yaliyosababisha awaseme vibaya walimu pale.

Nina mwanangu ameomba kujiunga na chuo hicho. Sasa leo tukijadili umakini wa vyuo, hasa kutokana na tukio la mauaji ya mwanachuo kule Tanga,ndipo nikasikia kuwa chuo hicho pia kina sifa mbaya kiasi kwamba si vema kupeleka mtoto kusoma hapo.

Naomba kama nitapata taarifa za uhakika kuhusu chuo hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom