Udahili Chuo cha Patandi

copyright

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
258
195
Habari za majukumu wakuu?

Kama mada inavyojieleza, naomba kujulishwa jinsi ya kuomba nafasi ya masomo Chuo cha Patandi ktk kozi ya elimu maalum pia kama kuna link naomba mnisaidie. Na Kama kuna chuo kingne tofauti na Patandi ambacho kinatoa kozi hizo naomba kujulishwa.

Asante!!
 
Vguo vya ualimu GVT vyote unaomba online via NACTE website ingia humo jisajili utapata control number utafanya malipo muongozo wa kulipa utapata humo mwisho utajaza na kusubmit mkuui
 
Udahili wa kozi za ualimu bado hawajafungua
 
Vguo vya ualimu GVT vyote unaomba online via NACTE website ingia humo jisajili utapata control number utafanya malipo muongozo wa kulipa utapata humo mwisho utajaza na kusubmit mkuui
Sawa mkuu ila sijaona ka wamefungua udahili
 
Application kwa kozi za afya vyuo vya afya kiujumla ni kupitia Nacte. Kozi zingine tofauti application inafanyika kupitia panel za chuo husika.

.................

MAOMBI YA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA 2020/2021.

Dirisha la maombi ya vyuo ngazi ya cheti na diploma yamefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 15 June 2020 hadi tarehe 15 September.

Kwa wewe mwenye uhitaji wa kukamilishiwa application popote ulipo Tanzania, huduma inapatikana na ya uhakika.

Tuna wataalamu na wazoefu watakaokusaidia kukamilisha application yako ndani ya muda mfupi popote ulipo.

Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane whatsapp/sms/simu +255 752026992

Tunapatikana Mbagala, Maeneo ya Sabasaba.
FB_IMG_1592929092238.jpg
 
Back
Top Bottom