Ipi ni combination nzuri kati ya HGE,HGL na HKL

Ipi ni combination nzuri kati ya HGE,HGL na HKL

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata Hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa HGE iko sawa ila nikaona niwasilishe kwa wadau kwanza mnipe mawazo na nini cha kufanya hasa tukiangalia swala la ajira na fact za chuo kikuu
asanten
nawasilisha kwenu ndg
 
Jiulize kwanza baada ya kusoma !
  • HGE = utafanya kazi gani ?
  • HGL = Utafanya kazi gani ?
  • HKL = Utafanya kazi Gani ?

usichague combination ilimradi !
 
Mtu akiniomba ushauri kwenye arts subjects,daima nitamshauri HGL even though mtu anasoma combination kutokana na malengo yake hapo mbeleni bt HGL ipo poa.ukitaka kujua kwanin nakushauri HGL na cyo HKL au HGE nipm nikwambie maelezo mengii lakin yenye fact
 
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa hge iko sawa ila nikaona niwasilishe kwa wadau kwanza mnipe mawazo na nini cha kufanya hasa tukiangalia swala la ajira na fact za chuo kikuu
asanten
nawasilisha kwenu ndg
kwani wewe unapenda mambo gani.kwa upande wangu hge ni nzuri na choice ni kubwa ya kusoma mambo mengi.lakini soma unayopenda chuo kikuu utapana nafasi ya kusoma unachopenda.kama mambo ya biashara kwa wewe hata ukisoma hgl chuo utapata tu.mimi napendekeza choice hii 1.hge 2.hgl 3 hgk
 
asanten wakuu ila sasa na mimi naona HGE ni nzuri na nitaimudu lakin mzazi kaniambia ni mwambie ni kwa nini nasoma hiyo comb na ntachukua fact gani chuo kikuu na kuhusu ajira na sehemu pekee nayoweza kupata ni hapa jukwaani naomba kusaidiwa wakuuuu
 
kwa hayo matokeo yako,cdhan kama HGE utaiweza.bora ungesoma hgl au hkl.
 
Piga HGL au HKL wewe, sasa ww fata mkumbo wa humu JF uchukue HGE alafu mwisho wa siku NECTA wakulishe lidivision 3 ndo utaelewa habari kama hautaishia TEKU.
 
Zote mbaya, hakuna nzuri hapo!

acha ujinga chukua hge

piga HGE, HGL Comb ya kishamba!

ungana na mm mkuu.. nachukua HGE... nababua balaaa

Piga HGL au HKL wewe, sasa ww fata mkumbo wa humu JF uchukue HGE alafu mwisho wa siku NECTA wakulishe lidivision 3 ndo utaelewa habari kama hautaishia TEKU.

wote hapa tumemweka jamaa njia panda!! embu tujaribu kumpa sababu za msingi!!
asanten wakuu ila sasa na mimi naona HGE ni nzuri na nitaimudu lakin mzazi kaniambia ni mwambie ni kwa nini nasoma hiyo comb na ntachukua fact gani chuo kikuu na kuhusu ajira na sehemu pekee nayoweza kupata ni hapa jukwaani naomba kusaidiwa wakuuuu
luckers zipo sababu nyingi kwamba HGE ni bora, baadhi wameshataja wadau hapo juu... ila kwa kuongezea tu, baada ya EGM hge ndiyo inafwatia...ukichukua hge karibu kozi zote ambazo mtu wa arts anasoma wewe utaweza soma, achilia mbali hiyo, kozi za biashara utafiti vizuri tu. Binafsi ningekushauri HGE!!
 
Last edited by a moderator:
K
Mtu akiniomba ushauri kwenye arts subjects,daima nitamshauri HGL even though mtu anasoma combination kutokana na malengo yake hapo mbeleni bt HGL ipo poa.ukitaka kujua kwanin nakushauri HGL na cyo HKL au HGE nipm nikwambie maelezo mengii lakin yenye fact
Kaka shikamoo,Mimi nilikua natafuta ushauri na nikaona umeshauri huyu hivi naomba na Mimi unisaidie kuhusu kusoma comb hii ya HGL naomba unisaidie KAKAANGU
 
Kaka habari za saiz,kaka mi nilikua nakuomba unisaidie ni Nini naweza kusomea kwenye comb ya HGL nikifika chuo na ambayo itanitoa kimaisha kaka
 
Back
Top Bottom