Mechatronics
Member
- Nov 26, 2016
- 35
- 27
Kwa muda mrefu sana wanafunzi wanaosoma University of Dar es salaam (UDSM) wamekuwa wakiona chuo chao ni kama TOP in TZ.
Lakini mimi naomba tuangazie anga za uhandisi hasa hasa pekee, je UDSM wapo vizuri kwenye hii sector.?
Maana sijawahi kuona au kuwasikia hata siku moja labda wamechukua tuzo ya project bora zaidi ya porojo nyingi.
Kiukweli ukitaka vyuo vya uhandisi Tanzania basi ni hivi vifuatavyo,
1: St. Joseph university in Tanzania.( College of engineering and technology) Elimu inayotolewa hapa ni hatari japokuwa ada yake sio rafiki kidogo kwa watanzania.
2: Dar es salaam institute of technology (DIT)
3: Mbeya university of science and technology (MUST)
4: NIT
5: Arusha Tec. (ATC)
Hivi ndio TOP universities/ instituties/ college za uhandisi bora Tanzania.
Anaebisha aje na data.